Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari,

Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk.

Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata.t

Tunaomba usije ukawekwa mfukoni na mitandao ya simu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wako
Sema Silaa anajihidigi kamsimamo. Kila la kheri kwake.
 
Itakuwa ni habari njema sana hasa baada ya TTCL kulala usingizi.....
TTCL wanasubiri hadi apewe Mzungu (mwenye elimu ya kawaida tu) aje achukue mkopo Bank zetu asambazie watu, akipiga mabilioni .....tuna anza kupiga kelele kuwa watanzania wapewe waendeshe wenyewe....kwa nini wasiendeshe wenyewe sasa hivi?
 
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Kizingiti (the stumbling block) kimeshanyofolewa. Starlink ya Elon Musk kuanza kazi karibuni nchini.

Jerry hatatuangusha.
nimeamini mchawai ni huyu
GTCZW3GWoAA66Ga.jpg
 
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Kizingiti (the stumbling block) kimeshanyofolewa. Starlink ya Elon Musk kuanza kazi karibuni nchini.

Jerry hatatuangusha.
Starlink inatumika siku nyingi tu mkuu, hata hapo Sirali mpaka accessories za stalink zinapatikana

wadau wananunua kisii siku miingi!...' Kuna majirani wawili maeneo nilipo hapa nyakato, Mza wanatumia net ya starlink mwaka wa pili huu.
 
Back
Top Bottom