MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kakosa kazi huyu waziri, Zari ni mganda au na yeye ana passport ya tanzania?waziri kasake vipaji vya wanariadha na wana soka huko mikoani hakikisha Academy ya riadha yenye kocha wa kisasa inakuwepo huko manyara.Academy ya kipingu alliance azam etc zifurike vipajiJuliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
Huyu hana tofauti na babake mzee wa NATOA MAELEKEZO kwa IGP.Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
haya bwana msaga sumu. kama ni kweli basi hivi ni vituko uswahiliniJuliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
hii inakera kabisa......[emoji16] [emoji16] [emoji16] Shonza bwana,kumbe kuna wizara ambazo hazina kazi ya kufanya,nashautmri hii wizara ipelekwe wizaya ya kazi,ajira