Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ukimya wote halafu anakuja na hili
Kweli kuna wizara zingine unaenda kupumzika tuu ofisini
Kweli kuna wizara zingine unaenda kupumzika tuu ofisini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatetea ugali wa shangazi yako au ndio unapo danga..Wapi kaabisah anchi na wapi umemsikia kasema?? wewe ndio unajiabisha bwana na sio Naibu waziri bwana
Tatizo nina shaka Shonza kashawahi kudikia kitu kinaitwa "cyber law".Territorial jurisdiction imegoma.
Tulipokuwa tunasoma cyber law tulikuwa tunaambiwa moja ya challenge kwa sheria za mtandao ni kwamba Cyber space have no boundaries. Mtu aliyepo marekani anaweza akafanya kosa Tanzania na mtu aliyepo Nigeria anaweza akafanya kosa Uingereza.
Let's say kwa mfano hata Zari akamtukana Magufuli tunamwajibishaje siyo Raia wetu, na hayupo kwenye ardhi yetu. At least hata Mange ni mtanzania tunaweza hata tukaomba USA wamkamate watuletee (na hawawezi kukubali maana sheria yetu ya mtandao wanaona ni kandamizi walitunyima na pesa za MCC bado tukakomaa) lakini kwa Zari no Waziri amekurupuka
Mleta uzi kasepaNdio ujue hamna tamko kama hilo aseeeee
Hahahaha Mshana Jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 829036
[emoji24][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] honourable shoza atadeal na wewe Kwanzaa umuelekeze mbinu mpya ya kupat magari kwa njia hyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 829036
Kaka mshana [emoji115] [emoji115] unversal laws hazituruhusu kufanya hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 829036
Akaribie kilingeni msata[emoji24][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] honourable shoza atadeal na wewe Kwanzaa umuelekeze mbinu mpya ya kupat magari kwa njia hyo.
Lakini watu wanafanya sijui KwaniniKaka mshana [emoji115] [emoji115] unversal laws hazituruhusu kufanya hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 829036