ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
TUJIKUMBUSHE ZILE PRODUCTS ANAZOSIFIA KWA KUTUMIA MGONGO WA NCHI YETU TANZANIA!Territorial jurisdiction imegoma.
Tulipokuwa tunasoma cyber law tulikuwa tunaambiwa moja ya challenge kwa sheria za mtandao ni kwamba Cyber space have no boundaries. Mtu aliyepo marekani anaweza akafanya kosa Tanzania na mtu aliyepo Nigeria anaweza akafanya kosa Uingereza.
Let's say kwa mfano hata Zari akamtukana Magufuli tunamwajibishaje siyo Raia wetu, na hayupo kwenye ardhi yetu. At least hata Mange ni mtanzania tunaweza hata tukaomba USA wamkamate watuletee (na hawawezi kukubali maana sheria yetu ya mtandao wanaona ni kandamizi walitunyima na pesa za MCC bado tukakomaa) lakini kwa Zari no Waziri amekurupuka
Waziri ame base hapo!
Serikali ya sasa hivi haipurukuki bali ina kuzibia mifereji yako!
Ina pasa kuwa na BUSARA NA HEKIMA UKIWA PUBLIC FIGURE!