Waziri Juliana Shoza ampa masaa 3 Zari kujieleza kwanini kapost uchafu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
 
Kakosa kazi huyu waziri, Zari ni mganda au na yeye ana passport ya tanzania?waziri kasake vipaji vya wanariadha na wana soka huko mikoani hakikisha Academy ya riadha yenye kocha wa kisasa inakuwepo huko manyara.Academy ya kipingu alliance azam etc zifurike vipaji
 
Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG-20180807-WA0024.jpg
 
Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
Huyu hana tofauti na babake mzee wa NATOA MAELEKEZO kwa IGP.
 
Territorial jurisdiction imegoma.

Tulipokuwa tunasoma cyber law tulikuwa tunaambiwa moja ya challenge kwa sheria za mtandao ni kwamba Cyber space have no boundaries. Mtu aliyepo marekani anaweza akafanya kosa Tanzania na mtu aliyepo Nigeria anaweza akafanya kosa Uingereza.

Let's say kwa mfano hata Zari akamtukana Magufuli tunamwajibishaje siyo Raia wetu, na hayupo kwenye ardhi yetu. At least hata Mange ni mtanzania tunaweza hata tukaomba USA wamkamate watuletee (na hawawezi kukubali maana sheria yetu ya mtandao wanaona ni kandamizi walitunyima na pesa za MCC bado tukakomaa) lakini kwa Zari no Waziri amekurupuka
 
Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
haya bwana msaga sumu. kama ni kweli basi hivi ni vituko uswahilini
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Shonza bwana,kumbe kuna wizara ambazo hazina kazi ya kufanya,nashautmri hii wizara ipelekwe wizaya ya kazi,ajira
hii inakera kabisa......
 
Abracadabra all the way......... [emoji16]
 
Anaaibisha nchi huyu waziri..
Yeye sio waziri wa dunia nzima...
 
Back
Top Bottom