Waziri Juliana Shoza ampa masaa 3 Zari kujieleza kwanini kapost uchafu

TUJIKUMBUSHE ZILE PRODUCTS ANAZOSIFIA KWA KUTUMIA MGONGO WA NCHI YETU TANZANIA!
Waziri ame base hapo!
Serikali ya sasa hivi haipurukuki bali ina kuzibia mifereji yako!
Ina pasa kuwa na BUSARA NA HEKIMA UKIWA PUBLIC FIGURE!
 
Lete hapa iyo papuchi ili tujue ni ya kitanzania au ni ya Kiganda
 
Zari sio MTANZANIA, ni Mganda...duh Magufuli ndio Rais mwenye bahati mbaya kuwahi kuwa na Cabinet mapopoma haijawahi kutokea...huenda hata Shonza mwenyewe sio Mtanzania, haiwezekani uanze kuamlisha watu hata wa nje ya mipaka ya Nchi!!!
 
Kwahiyo Donald Trump akifanya utumbo na followers wake twitter wakiwa watanzania atamwandikia pia email ya kutoa maelezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hii taarifa ni ya kweli, basi viongozi wa aina hii wanaliaibisha taifa letu pendwa. Na hii yaweza kuwa kwa makusudi au hizo nafasi hawakuzistahili kwa kuwa uwezo wao kiuongozi ni mdogo mno.
 
Watu wanaanzisha nyuzi kwa kupitia majina ya watu maarufu ili wapate wachangiaji
 
Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
Iweke hapa tuone kama ni kweli na sisi wengine huko insta hatupo
 
Zarithebosslady ni mfanyabiashara ambaye ana mikataba ya kibiashara na kampuni mbalimbali hivyo natumai hawezi kufanya hivyo vinginevyo labda ile habari ya kuwa akaunti yake ya Instagram imekuwa hacked.
Hakuna mfanyabiashara ambaye anawaza kubomoa image yake kirahisi hivyo wakati ametumia nguvu kubwa kuijenga.
 
Huyo waziri wenu mshaulini basi awe ana mkosult hata Mwakyembe kwenye maswala ya kisheria kabla ya kuja public
 
Kuna watu wanafikiri Instagram inamilikiwa na serikali ya jiwe
 
Atulie ajifungue salama aache kuparamia watu. Watamutia vichomi bure`
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…