Au hiyo Papuchi kaipigia Picha Tanzania, kisha tuendelee na hapokwani zari ni mtanzania? tuanzie hapo
Angeanza na yule kidosho wa KISARAWE aka KIDOT angeelewekaJuliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
hujawahi kuniangusha kwenye idara yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 829036
ana saga sumu siku zoteSijawahi kumwelewa msaga sumu!
Ok kumbe..Papuchi ni andazi.
Nchi haina hata viwanja vya kuchezea watoto kila unapita watoto wancheza barabarani...Kakosa kazi huyu waziri, Zari ni mganda au na yeye ana passport ya tanzania?waizir kasake vipaji vya wanariadha na wana soka huko mikoani hakikisha Academy ya riadha yenye kocha wa kisasa inakuwepo huko manyara.Academy ya kipingu alliance azam etc zifurw vipaji
Jifunze kuwa na subira kidogo sio kuanza kutoa hukumu ni wapi we umemsikia kasema hivyo?? Acheni tabia za kitoto kukurupuka bwanaKakosa kazi huyu waziri, Zari ni mganda au na yeye ana passport ya tanzania?waziri kasake vipaji vya wanariadha na wana soka huko mikoani hakikisha Academy ya riadha yenye kocha wa kisasa inakuwepo huko manyara.Academy ya kipingu alliance azam etc zifurike vipaji
Wapi kaabisah anchi na wapi umemsikia kasema?? wewe ndio unajiabisha bwana na sio Naibu waziri bwanaAnaaibisha nchi huyu waziri..
Yeye sio waziri wa dunia nzima...
Ndio ujue hamna tamko kama hilo aseeeeeMaelezo bila kapicha hayanog