Waziri Juliana Shoza ampa masaa 3 Zari kujieleza kwanini kapost uchafu

Waziri Juliana Shoza ampa masaa 3 Zari kujieleza kwanini kapost uchafu

Juliana Shonza kamwambia Zari amtumie email ndani ya masaa 3 isiyozidi maneno 400 kwanini amepost papuchi huko Instagram.Shonza amedai Zari yuko chini ya wizara hiyo sababu asilimia 80 ya followers wake ni watanzania pamoja na mme wake mtarajiwa
Angeanza na yule kidosho wa KISARAWE aka KIDOT angeeleweka
 
Amemuuliza mwanaume kwanza ? Kama anataka kuongea na mkewe ? Amwombe Daimoo kwanza.
 
Ukipost kitu kipo kinyume na maadili Instagram wenyewe wanafuta....sasa kwanini sie tunapata shida wakati wenye App yao wamekaa kimya.
 
Kakosa kazi huyu waziri, Zari ni mganda au na yeye ana passport ya tanzania?waizir kasake vipaji vya wanariadha na wana soka huko mikoani hakikisha Academy ya riadha yenye kocha wa kisasa inakuwepo huko manyara.Academy ya kipingu alliance azam etc zifurw vipaji
Nchi haina hata viwanja vya kuchezea watoto kila unapita watoto wancheza barabarani...
 
Kakosa kazi huyu waziri, Zari ni mganda au na yeye ana passport ya tanzania?waziri kasake vipaji vya wanariadha na wana soka huko mikoani hakikisha Academy ya riadha yenye kocha wa kisasa inakuwepo huko manyara.Academy ya kipingu alliance azam etc zifurike vipaji
Jifunze kuwa na subira kidogo sio kuanza kutoa hukumu ni wapi we umemsikia kasema hivyo?? Acheni tabia za kitoto kukurupuka bwana
 
Mfano ikatokea jz akawa na followers 90% watanzania na akapost porn ataadhibiwa na shonza?
 
Huyo waziri kakukataza usitupie picha huku JF?

Tuna-comment bila ushahidi;
Fanya kutupia picha mtoa mada
 
Juliana huwa anasikika kwenye media siku mtu akipost papuchi yake au siku wimbo unafungiwa. What a shame!
 
Back
Top Bottom