Waziri Juliana Shoza ampa masaa 3 Zari kujieleza kwanini kapost uchafu

Ukimya wote halafu anakuja na hili

Kweli kuna wizara zingine unaenda kupumzika tuu ofisini
 
Tatizo nina shaka Shonza kashawahi kudikia kitu kinaitwa "cyber law".

Zari akimpotezea, huyo Waziri atafanya nini?

Ataiomna serikali ya Uganda imkamate Zari?

Atamripoti Zari Interpol akamatwe?
 
[emoji24][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] honourable shoza atadeal na wewe Kwanzaa umuelekeze mbinu mpya ya kupat magari kwa njia hyo.
Akaribie kilingeni msata
 
Tuwekee picha chafu tuone basi.
 
Kama hii story ni ya kweli basi atakuwa akaribia kunaniliiiii.........
 
Dah huwa inafikia hatua nikitembea njiani nacheka pekee yangu.

Zari anatuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…