PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kabudi umeruka mkojo na kukanyaga mav+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
July 12, 2019
London, Uingereza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi ametoa taarifa rasmi juu ya kuhuzunishwa na habari zinazosambaa mitandaoni juu ya mwandishi wa habari Azory Gwanda aliyetoweka.
Prof. Kabudi akiisoma taarifa yake kwa umakini mkubwa mbele ya kamera, amesema alinukuliwa vibaya katika mahojiano yake na BBC Focus on Africa.
Na ukweli ni kuwa, hakuthibitisha kifo cha Azory Gwanda kutokea na bado vyombo vya usalama vya Tanzania vinaendelea na uchunguzi kufahamu alipo mwandishi Azory Gwanda.
Source : Millard Ayo

Ulijisahau ulijua unazungumza na TBC taifa.....kazi unayo na ulichofata huko wameaza kukugomea nn.mbona umerudi fasta kuwakataa bbcJuly 12, 2019
London, Uingereza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi ametoa taarifa rasmi juu ya kuhuzunishwa na habari zinazosambaa mitandaoni juu ya mwandishi wa habari Azory Gwanda aliyetoweka.
Prof. Kabudi akiisoma taarifa yake kwa umakini mkubwa mbele ya kamera, amesema alinukuliwa vibaya katika mahojiano yake na BBC Focus on Africa.
Na ukweli ni kuwa, hakuthibitisha kifo cha Azory Gwanda kutokea na bado vyombo vya usalama vya Tanzania vinaendelea na uchunguzi kufahamu alipo mwandishi Azory Gwanda.
Source : Millard Ayo
Duh!!Mungu akutie nguvu na ujasiri mzee wangu wa Kanisa Prof Kabudi!
Uanasheria sa ivi uko tumboni ndugu..Alipaswa kusema ‘waliopotea au kuuwawa’.
Siyo ‘waliopotea na kuuwawa’ maana hiyo inaacha mwanya wa tafsiri zingine.
Yeye kama mwanasheria nguli nilitegemea awe makini sana na uchaguzi wa maneno atumiayo.