Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Professorial Rubbish....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa mjini wanasema hiyo imeshatoka
..Prof alisema "Azory Rwanda."
..hakusema Azory Gwanda.
Ameen,tena kwa kuwa ametoka jalalani, atatuambia uchafu huu chanzo ni hiki na fulani ndio kautupa hapa au kautengenezaAmen!
Lakini kukosea kidogo jina si big deal.
Watu tulio wengi naamini ndimi zetu huteleza.
Wewe hujawahi kukosea jina la mtu?
Unaweza kuandika ulichokiandika kwa maneno ya kiingereza?prof. hakukosea kabisa ila tumewazoea mkitengeneza tafsiri zenu mnapomchukia mtu na natambua Prof anachukiwa kwa nguvu na uwezo alionao katika kujenga hoja.
mlipokosea ni kudhani kwamba prof anaweza kuongea kama Sugu au Mbowe, lazima daima ujue kwamba yule mtu anapoongea anaongea mambo mazito na magumu kwa watanzania wengi kuyaelewa haraka
Wewe bwege unajua naongelea nini?bora ukae kimya tu maana hata hujui usemalo. ninyi ndio mnampa tabu Melo kuitwa mahakamani kila siku kwa matataizo mliyoyasababisha. Kwa mfano, ukahitajika kuthibisha mbele ya mahakama kisheria kwamba Prof. aliongea unachoamanisha watu, utafanya hivyo?
Mbona umepanic?bora ukae kimya tu maana hata hujui usemalo. ninyi ndio mnampa tabu Melo kuitwa mahakamani kila siku kwa matataizo mliyoyasababisha. Kwa mfano, ukahitajika kuthibisha mbele ya mahakama kisheria kwamba Prof. aliongea unachoamanisha watu, utafanya hivyo?
We naye ovyo kabisa!bora ukae kimya tu maana hata hujui usemalo. ninyi ndio mnampa tabu Melo kuitwa mahakamani kila siku kwa matataizo mliyoyasababisha. Kwa mfano, ukahitajika kuthibisha mbele ya mahakama kisheria kwamba Prof. aliongea unachoamanisha watu, utafanya hivyo?
Unaonekana we ni dhaifu.prof. hakukosea kabisa ila tumewazoea mkitengeneza tafsiri zenu mnapomchukia mtu na natambua Prof anachukiwa kwa nguvu na uwezo alionao katika kujenga hoja.
mlipokosea ni kudhani kwamba prof anaweza kuongea kama Sugu au Mbowe, lazima daima ujue kwamba yule mtu anapoongea anaongea mambo mazito na magumu kwa watanzania wengi kuyaelewa haraka
Achana nao mkuu ndio walewale wap......vu.Ungeeleza kwa nini hakukosea, kwa ushahidi wa maneno aliyotumia, ambayo yapo kwa ushahidi wa video mtandaoni, ningekuona wa maana zaidi.
Sasa hivi naona unapinga kitu bila ushahidi.
Mimi nimeeleza kwamba matumizi yake ya maneno "disappeared and died" yalimaanisha wote aliowaongelea wamekufa, angeweza kutetewa kama angetumia maneno "disappeared or died".
Hujagusa hata kidogo hoja yangu kwa kutumia maneno hayo aliyotumia.
Kwa nini?
1. Wewe ni mvivu tu wa kufikiria, kitabia, na hujui kupinga kitu kwa hoja?
2. Wewe ni mshenzi tu wa tabia unajua kwamba kakosea lakini hutaki kujadili hoja, unapinga kijumlajumla tu?