Kyakashombo
Senior Member
- Oct 13, 2018
- 151
- 232
Kwani waliosoma UDSM wote wanakuwa na busara? Vitu vingine ni inborn! Huwezi vibadili hata usomee Oxford!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani waliosoma UDSM wote wanakuwa na busara? Vitu vingine ni inborn! Huwezi vibadili hata usomee Oxford!
unaweza kujamba ukasingizia mtoto aliyekaa jirani nawe lakini ukiharisha huwezi fanya hivyo kwa sabbu utafuatwa na nzi. Tafakari kwa makini nilichoandikaWewe bwege unajua naongelea nini?
yaani kushindwa kumuelewa kwako ndio ajitathmini? wa kujitathmini ni wewe ambaye inawezekana umesoma mpaka chuo lakini bado utafakari kisomi hasa maneno ya kiprofesa
Umerudia kusoma ulichoandika kabla ya kupost!? Kwa uandishi huu,ambao unamaanisha na kufikiri kwako kupo hivi,basi huko Tanzania kuna upungufu mkubwa sana wa "utimamu wa akili" na " uwezo wa kufikiri" na kukitafsiri kile ukifikiriacho "kimaandishi" na "kimaneno".yaani kushindwa kumuelewa kwako ndio ajitathmini? wa kujitathmini ni wewe ambaye inawezekana umesoma mpaka chuo lakini bado utafakari kisomi hasa maneno ya kiprofesa
Haya sawa !"Disappear and died" hapa alimaanisha kuwa kila mpoteaji hufa, therefor Gwanda kashakufa. Wewe ni nani kumsemea?
July 12, 2019
London, Uingereza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi ametoa taarifa rasmi juu ya kuhuzunishwa na habari zinazosambaa mitandaoni juu ya mwandishi wa habari Azory Gwanda aliyetoweka.
Prof. Kabudi akiisoma taarifa yake kwa umakini mbele ya kamera, ameseme alinukuliwa vibaya na ukweli ni kuwa vyombo vya usalama vya Tanzania bado vinaendelea na uchunguzi kufahamu alipo mwandishi Azory Gwanda.
Source : Millard Ayo
July 12, 2019
London, Uingereza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi ametoa taarifa rasmi juu ya kuhuzunishwa na habari zinazosambaa mitandaoni juu ya mwandishi wa habari Azory Gwanda aliyetoweka.
Prof. Kabudi akiisoma taarifa yake kwa umakini mkubwa mbele ya kamera, amesema alinukuliwa vibaya katika mahojiano yake na BBC Focus on Africa.
Na ukweli ni kuwa, hakuthibitisha kifo cha Azory Gwanda kutokea na bado vyombo vya usalama vya Tanzania vinaendelea na uchunguzi kufahamu alipo mwandishi Azory Gwanda.
Source : Millard Ayo