Waziri Kabudi akanusha kuthibitisha kifo cha Mwanahabari, Azory Gwanda

Mungu akutie nguvu na ujasiri mzee wangu wa Kanisa Prof Kabudi!
 

Pumbafu. Aliulizwa kuhusu Azory, yeye anajibu kuhusu Kibiti.
Ukiona mtu anaulizwa jambo husika alafu yeye anajibu lingine basi jiongeze
 
Ulijisahau ulijua unazungumza na TBC taifa.....kazi unayo na ulichofata huko wameaza kukugomea nn.mbona umerudi fasta kuwakataa bbc
 
Alipaswa kusema ‘waliopotea au kuuwawa’.

Siyo ‘waliopotea na kuuwawa’ maana hiyo inaacha mwanya wa tafsiri zingine.

Yeye kama mwanasheria nguli nilitegemea awe makini sana na uchaguzi wa maneno atumiayo.
Uanasheria sa ivi uko tumboni ndugu..
 
Kuna vitu vikitoka huwa havirudi
1.Maneno yakishatoka mdomoni
2.Muda ukishaenda
 
Seriously, where was he quoted!!? " .... It's not only Azory Ngwanda .. hhm ... Azory who DISAPPEARED AND DIED". This was loud and clear.

Hakuna sehemu aliyonukuliwa. Amesema mwenyewe ... tena kwenye TV!! Bora angedai waliedit siyo walimnukuu. Hivi ni nani aliyemnukuu huyu bwana ...!!?

Instead of saying he was misquoted he should be apologizing and saying he wrongly expressed himself. Since English is not his mother tongue a lot of us will understand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…