Waziri Kabudi amteua Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao Makuu ya Wizara hiyo aliyekuwa Meneja wa Uwanja huo Bw. Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa viwanja vyote nchini.

Waziri Kabudi amesema hayo Mei 10, 2025 alipofanya ziara maalumu ya ukaguzi wa Kiwanja hicho na viwanja vya Mazoezi ya CHAN 2024 akiongozana na Katibu Mkuu Wizara hiyo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa jijini Dar es Salaam.

Nchi hii bwana, ukiharibu unapandishwa cheo. Huyo bwana ameshindwa kusimamia kiwanja kimoja, ameenda kupewa asimamie viwanja vyote nchini.
 
Waziri wa Michezo hajui hata Simba inacheza na timu gani fainali ya CAF.

Kila siku hao wanafanya ziara hapo uwanjani na kuwapotezea hata masaa 3 hao wafanyakazi wanaofanya matengenezo.
 
Nchi hii bwana, ukiharibu unapandishwa cheo. Huyo bwana ameshindwa kusimamia kiwanja kimoja, ameenda kupewa asimamie viwanja vyote nchini.
Serikalini hakuna siasa za kihuni za mitaani, mtu anapanda cheo kwa kufanya kazi bora ina maana meneja wa uwanja wa Mkapa alifanya kazi yake kwa weledi na kufuata Sheria kwa kutimua wahuni wa msimbazi wasiofuata Sheria za uwanja na kujijia uwanjani tu bila taarifa kama vichaa hivyo meneja anapewa heshima tuzo , cheo kikubwa na rungu la kunyoosha makolo kwenye kiwanja chochote Tanzania nzima watakachoenda kufanya uhuni wa kulazimisha kuingia bila kutoa taarifa kama Sheria za uwanja zinavyosema.
Big up sana Mh Kabudi umetenda vile inavyopasa.
 
Uwanja umewashinda huo tangazeni tenda kampuni ndio itunze huo uwanja sio ninyi mnaoteuana mkidhani ni kama kusimamia Shamba..
 
Ndo maana hata ukarabati ni hovyo hovyo tuu mtu anateuliwa kwenye mambo ya kitaalamu kama viwanja.

Inawezekana huo uwanja unahujumiwa ili wa Arusha ukikamilika ndiyo upewe promo na soko zaidi. Hizi siasa wanazotupigia hazitaisha mpaka AFCON ipite.
 
Yaani serikali hii hii ambayo madudu yanaibuliwa kila mwaka na CAG? Embu usinifanye niongelee mambo ambayo sina mood nayo sasa hivi
 
Promotipn by demotion
Hii ina maana madai ya simba kuzuiwa getini meneja ana husika kuwalea uto
Hakuna demotion hapo wewe. Amekua meneja wa viwanja vyote Tanzania. Yan kwa kifupi saivi mtakua mnapigwa spana hata mkienda Nangwanda sijaona jamaa mtamkuta. Hakuna kufukia mbuzi tena
 
Promotipn by demotion
Hii ina maana madai ya simba kuzuiwa getini meneja ana husika kuwalea uto
Meneja amepandishwa cheo anakua msimamizi wa viwanja vyote nchini!

Ina maana yeye ni bosi wa Meneja wa uwanja wa Taifa na viwanja vingine.

Kuhusu kuzuiwa Simba Kuingia uwanjani kabla ya mechi ya Al Masry , kikanuni alikua sahihi, Simba hawakua na jukumu uwanjani kabla ya siku ya mechi!
 
Back
Top Bottom