Waziri Kabudi amteua Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Waziri Kabudi amteua Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Ilikuwa obviously atimuliwe hapo, jiulize baada ya taarifa rasmi ya game kuhairishwa Uto walipata vipi funguo za geti kuingilia uwanjani? Tena walitumia geti tofauti la lile Kuu ambalo ndo rasmi linatumika.
 
Back
Top Bottom