DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Ndo maana hata ukarabati ni hovyo hovyo tuu mtu anateuliwa kwenye mambo ya kitaalamu kama viwanja.Hivi hizo nafasi nazo ni za kuteuana?
Shauri yenu😁Hapa Sasa ndio hatuchezi kabiiiiiiiisaaaa
Hakika hii ni promotion by demotion.Promotipn by demotion
Hii ina maana madai ya simba kuzuiwa getini meneja ana husika kuwalea uto
Waziri wa Michezo hajui hata Simba inacheza na timu gani fainali ya CAF.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao Makuu ya Wizara hiyo aliyekuwa Meneja wa Uwanja huo Bw. Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa viwanja vyote nchini.
Waziri Kabudi amesema hayo Mei 10, 2025 alipofanya ziara maalumu ya ukaguzi wa Kiwanja hicho na viwanja vya Mazoezi ya CHAN 2024 akiongozana na Katibu Mkuu Wizara hiyo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa jijini Dar es Salaam.
Serikalini hakuna siasa za kihuni za mitaani, mtu anapanda cheo kwa kufanya kazi bora ina maana meneja wa uwanja wa Mkapa alifanya kazi yake kwa weledi na kufuata Sheria kwa kutimua wahuni wa msimbazi wasiofuata Sheria za uwanja na kujijia uwanjani tu bila taarifa kama vichaa hivyo meneja anapewa heshima tuzo , cheo kikubwa na rungu la kunyoosha makolo kwenye kiwanja chochote Tanzania nzima watakachoenda kufanya uhuni wa kulazimisha kuingia bila kutoa taarifa kama Sheria za uwanja zinavyosema.Nchi hii bwana, ukiharibu unapandishwa cheo. Huyo bwana ameshindwa kusimamia kiwanja kimoja, ameenda kupewa asimamie viwanja vyote nchini.
Hivyo viwanja ni vipi zaidi ya Taifa na Uhuru? Serikali ina kiwanja gani kingine nchi hii?Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa viwanja vyote nchini.
Ndo maana hata ukarabati ni hovyo hovyo tuu mtu anateuliwa kwenye mambo ya kitaalamu kama viwanja.
Inawezekana huo uwanja unahujumiwa ili wa Arusha ukikamilika ndiyo upewe promo na soko zaidi. Hizi siasa wanazotupigia hazitaisha mpaka AFCON ipite.Uwanja umewashinda huo tangazeni tenda kampuni ndio itunze huo uwanja sio ninyi mnaoteuana mkidhani ni kama kusimamia Shamba..
Ndo maana hata ukarabati ni hovyo hovyo tuu mtu anateuliwa kwenye mambo ya kitaalamu kama viwanja.
Inawezekana huo uwanja unahujumiwa ili wa Arusha ukikamilika ndiyo upewe promo na soko zaidi. Hizi siasa wanazotupigia hazitaisha mpaka AFCON ipite.Uwanja umewashinda huo tangazeni tenda kampuni ndio itunze huo uwanja sio ninyi mnaoteuana mkidhani ni kama kusimamia Shamba..
Yaani serikali hii hii ambayo madudu yanaibuliwa kila mwaka na CAG? Embu usinifanye niongelee mambo ambayo sina mood nayo sasa hiviSerikalini hakuna siasa za kihuni za mitaani, mtu anapanda cheo kwa kufanya kazi bora ina maana meneja wa uwanja wa Mkapa alifanya kazi yake kwa weledi na kufuata Sheria kwa kutimua wahuni wa msimbazi wasiofuata Sheria za uwanja na kujijia uwanjani tu bila taarifa kama vichaa hivyo meneja anapewa heshima tuzo , cheo kikubwa na rungu la kunyoosha makolo kwenye kiwanja chochote Tanzania nzima watakachoenda kufanya uhuni wa kulazimisha kuingia bila kutoa taarifa kama Sheria za uwanja zinavyosema.
Big up sana Mh Kabudi umetenda vile inavyopasa.
Toka lini pitch ndio ikawa kikwazo mwaka mzima sisi sio wazima kabisaa..Inawezekana huo uwanja unahujumiwa ili wa Arusha ukikamilika ndiyo upewe promo na soko zaidi. Hizi siasa wanazotupigia hazitaisha mpaka AFCON ipite.
Hakuna demotion hapo wewe. Amekua meneja wa viwanja vyote Tanzania. Yan kwa kifupi saivi mtakua mnapigwa spana hata mkienda Nangwanda sijaona jamaa mtamkuta. Hakuna kufukia mbuzi tenaPromotipn by demotion
Hii ina maana madai ya simba kuzuiwa getini meneja ana husika kuwalea uto
Meneja amepandishwa cheo anakua msimamizi wa viwanja vyote nchini!Promotipn by demotion
Hii ina maana madai ya simba kuzuiwa getini meneja ana husika kuwalea uto
😅🤣😂Hapa Sasa ndio hatuchezi kabiiiiiiiisaaaa