adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,945 Reaction score 5,380 May 12, 2025 #21 Ilikuwa obviously atimuliwe hapo, jiulize baada ya taarifa rasmi ya game kuhairishwa Uto walipata vipi funguo za geti kuingilia uwanjani? Tena walitumia geti tofauti la lile Kuu ambalo ndo rasmi linatumika.
Ilikuwa obviously atimuliwe hapo, jiulize baada ya taarifa rasmi ya game kuhairishwa Uto walipata vipi funguo za geti kuingilia uwanjani? Tena walitumia geti tofauti la lile Kuu ambalo ndo rasmi linatumika.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 May 12, 2025 #22 Meneja wa Yanga amepelekwa wapi?