Waziri Kairuki afanya ziara ya kikazi Tanga

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANGA

WAZIRI wa Nchi,@ortamisemitz Mhe. Angellah Kairuki leo tarehe 06 Julai 2023 amewasili Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo. Mhe.Kairuki atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Elimu na Afya.

Pia atapokea taarifa ya Mradi wa Zahanati ya Magazini,Makabidhiano ya Miradi na Uzinduzi wa Shule ya Msingi Mnyuzi na Kuzindua vyumba 3 vya madarasa shule ya Msingi Mbeza Mazoezi
 
Kwa pesa alizonazo mumshauri afanye healthy diet.
 
Sawa
Ziara Ya Kunenepesha Ng'ombe Siku Ya Mnada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…