Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Acha uropokaji... unadhani hizo takwini kaziokota jalalani.... tuliza mshono kazi iendelee
 
Kiwango cha mahitaji yake kwa umeme ni kidogo Sana
Na sio kuwa utakuwa unachimba kila siku
Kuna kujenga na kutayalisha kinu cha kuzalisha Umeme pia! Risk to human life associated to using nuclear!
 
Kiwango cha mahitaji yake kwa umeme ni kidogo Sana
Na sio kuwa utakuwa unachimba kila siku
Hahahhhahaha nimekucheka mpk basi... hauchimbi kila siku eeh... kunya anye bata akinya kuku kaharissha... wakati mwingine ni bora ukae kimya kulinda heshima
 
Sababu Nchi hazitumii Nyuklia ni Ujuzi na Hofu ya Radiation.

Sisi kama taifa tukiweka mpango wa miaka 20 hadi 30 tunaweza kuzalisha umeme wa Nyuklia kwa Pesa yetu na ujuzi
Hakuna kisicho wezekana chini ya jua, lakini teknolojia ya umeme wa nuclear ni kitu ambacho kinachoangaliwa kwa macho makali sana hasa kutoka nchi tajiri. Hawana imani na nchi masikini kama zinauwezo wa kumudu teknolojia hiyo bila kuibadilisha na kuwa ya kijeshi na ikawa madhara kwa mataifa mengine.

Kuchimba madini ni jambo moja, lakini kuchakatua madini na kuyabadilisha kuwa chanzo cha umeme ni swala linine na linahitaji vinu maalimu ambavyo sio rahisi kuvipata. Ndio maana inabidi hayo makinikia yapelekwe nje kugeuzwa kuwa fuel rods ndio mwisho uweze kutumia kuzalisha umeme. Utajikuta gharama yake inapita umeme wa kuzalishawa kwa maji maana malighafi ni maji tena ya bure.
 
So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Mh... Nyuklia hapa hapa Bongo? Itakuwa kujitafutia majanga. Sisi ni wazembe mno. BTW trend ya kuzalisha umeme inabadilika na njia zinazotoa hewa chafu kwa mazingira zinakimbiwa.
 
Nchi nyingi ulaya wanatumia wa nuklia tatizo ni mabaki yake ndio huwa wanakuja kutupa nchi za dunia ya tatu kwa pesa kidogo
Japan wanataka kumwaga tani mamilioni ya maji yalichafuliwa na mabaki ya nyukilia baada ya lile janga la tsunami......
Sospeter Muhongo sijuhi anasemaje kuhusu hilo, hahahaha!
 
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Madhara ya nuklia ni kubwa zaidi ya hydro power generation
Japan wanataka kumwaga tani mamilioni ya maji yalichafuliwa na mabaki ya nyukilia baada ya lile janga la tsunami......
Sospeter Muhongo sijuhi anasemaje kuhusu hilo, hahahaha!
Ukimpa hela atakubali tu yaje yamwage huku
 
CCM Inapasuka Baadaye Itakuwa Vipande Vidogo Vidogo Ngojeni Muone
Ramli ya hivyo ilipigwa tangu Lowassa anondoka CCM na kwenda ukawa......wakati huo kulikuwepo upinzani wa kweli kabla ulevi wa TAnzania Konyagi haujatamalaki , sasa hivi unajiuliza utoke CCM uende wapi, au uanzishe chama kipya!
 
The cheapest is solar and wind.
gharama za mabetri kuyabadilisha pili umeme wake hauwezi endesha mitambo mikubwa ya viwanda

Waweza tumia solar kuendesha hata mashine ya kusaga nafaka?
 
gharama za mabetri kuyabadilisha pili umeme wake hauwezi endesha mitambo mikubwa ya viwanda

Waweza tumia solar kuendesha hata mashine ya kusaga nafaka?
Umeme wa upepo unatumika sana Ulaya kwenye viwanda vikubwa. Sola nayo achana hivyo ''vigae'' vya Bongo
 
Mkuu
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Mkuu hiyo nyuklia kuidhibiti isilete madhara n gharama nyingine sio ya utani utani
 
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Kufyeka pori moja hakuwez kuathiri tanzania nzima,tuna sehem kubwa sana ya nchi hii ambayo ni mapori...otherwise mna masilahi yenu na si ya umma..

Umeme wa maji ni cheap zaidi
 
Acha tutumie HEP kisha mwaka 2030 nasi tutatumia NUCLEAR FUSSION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…