Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutawekeza.vuta subiraTungewekeza umeme wa nyuklia ni stable tofauti huu wa maji mvua zikipungua na wenyewe unapungua wakati wa kiangazi.
Acha uropokaji... unadhani hizo takwini kaziokota jalalani.... tuliza mshono kazi iendeleeNuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Kuna kujenga na kutayalisha kinu cha kuzalisha Umeme pia! Risk to human life associated to using nuclear!Kiwango cha mahitaji yake kwa umeme ni kidogo Sana
Na sio kuwa utakuwa unachimba kila siku
Hahahhhahaha nimekucheka mpk basi... hauchimbi kila siku eeh... kunya anye bata akinya kuku kaharissha... wakati mwingine ni bora ukae kimya kulinda heshimaKiwango cha mahitaji yake kwa umeme ni kidogo Sana
Na sio kuwa utakuwa unachimba kila siku
Hakuna kisicho wezekana chini ya jua, lakini teknolojia ya umeme wa nuclear ni kitu ambacho kinachoangaliwa kwa macho makali sana hasa kutoka nchi tajiri. Hawana imani na nchi masikini kama zinauwezo wa kumudu teknolojia hiyo bila kuibadilisha na kuwa ya kijeshi na ikawa madhara kwa mataifa mengine.Sababu Nchi hazitumii Nyuklia ni Ujuzi na Hofu ya Radiation.
Sisi kama taifa tukiweka mpango wa miaka 20 hadi 30 tunaweza kuzalisha umeme wa Nyuklia kwa Pesa yetu na ujuzi
Mh... Nyuklia hapa hapa Bongo? Itakuwa kujitafutia majanga. Sisi ni wazembe mno. BTW trend ya kuzalisha umeme inabadilika na njia zinazotoa hewa chafu kwa mazingira zinakimbiwa.So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Japan wanataka kumwaga tani mamilioni ya maji yalichafuliwa na mabaki ya nyukilia baada ya lile janga la tsunami......Nchi nyingi ulaya wanatumia wa nuklia tatizo ni mabaki yake ndio huwa wanakuja kutupa nchi za dunia ya tatu kwa pesa kidogo
The cheapest is solar and wind.Acha uropokaji... unadhani hizo takwini kaziokota jalalani.... tuliza mshono kazi iendelee
Madhara ya nuklia ni kubwa zaidi ya hydro power generationNuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Ukimpa hela atakubali tu yaje yamwage hukuJapan wanataka kumwaga tani mamilioni ya maji yalichafuliwa na mabaki ya nyukilia baada ya lile janga la tsunami......
Sospeter Muhongo sijuhi anasemaje kuhusu hilo, hahahaha!
Ramli ya hivyo ilipigwa tangu Lowassa anondoka CCM na kwenda ukawa......wakati huo kulikuwepo upinzani wa kweli kabla ulevi wa TAnzania Konyagi haujatamalaki , sasa hivi unajiuliza utoke CCM uende wapi, au uanzishe chama kipya!CCM Inapasuka Baadaye Itakuwa Vipande Vidogo Vidogo Ngojeni Muone
Mkuu kundi la Bundi lina tabia zipi?Kundi la BUNDI
Umeme wa upepo unatumika sana Ulaya kwenye viwanda vikubwa. Sola nayo achana hivyo ''vigae'' vya Bongogharama za mabetri kuyabadilisha pili umeme wake hauwezi endesha mitambo mikubwa ya viwanda
Waweza tumia solar kuendesha hata mashine ya kusaga nafaka?
Mkuu hiyo nyuklia kuidhibiti isilete madhara n gharama nyingine sio ya utani utaniNuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Kufyeka pori moja hakuwez kuathiri tanzania nzima,tuna sehem kubwa sana ya nchi hii ambayo ni mapori...otherwise mna masilahi yenu na si ya umma..Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Nyuklia Energy ni cheaper Sana kwa sababu inatumia fuel Ndogo kuzalisha Nishati na hiyo ndio sababu unaona zimepagwa hivyo.
1g ya Uranium au Plotonium inazalisha 1MW sawa na tani 1 moja ya makaa ya mawe, gallons 42 za Mafuta mazito na Futi za ujazo 17,000.
Kwa sasa duniani Tunatumia Reactors za Nuclear Fission kuzalisha Nishati, mwaka 2030 tunaweza kutumia Reactors za Nuclear Fussion, hii itakuwa cheapest cause inatumia Hydrogen na Itakuwa salama kwa sababu reactors zake hazipati Runway pia haina Radiation
Mataifa hayatumii Nuclear Energy kwa sababu ya Ujuzi na hofu ya Radiations if anything goes wrong, ila Nyuklia kama nchi inabidi tuifikirie
Madini ya uranium ya nyuklia hayachimbwi ardhini? au yenyewe hugemwa hewani?