Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.

Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi

Asema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote

Alizitaja gharama za kuzalisha umeme kwa unit kwa shilingi za kitanzania kwa kila chanzo ni kama ifuatavyo:
  • Maji ni shilingi 36 kwa unit moja
  • Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja
  • Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja
  • Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja
  • Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja
  • Gas shilingi 147 kwa unit moja
  • Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja
Naona mpambano wa mwanasheria mbobezi kwenye energy and minerals vs geologist Muhongo
 
Tungewekeza umeme wa nyuklia ni stable tofauti huu wa maji mvua zikipungua na wenyewe unapungua wakati wa kiangazi.
Nyuklia mpaka upewe vibari na viranja mkuu siyo kuchimba tu pia hata kufunga vinu napo panahitaji ruksa kutoka kwawenye dunia.
 
Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.

Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi

Asema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote

Alizitaja gharama za kuzalisha umeme kwa unit kwa shilingi za kitanzania kwa kila chanzo ni kama ifuatavyo:
  • Maji ni shilingi 36 kwa unit moja
  • Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja
  • Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja
  • Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja
  • Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja
  • Gas shilingi 147 kwa unit moja
  • Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja

Hii ya kujaza bwawa naifananisha na ile hekaya ya kuwa treni ya SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi Nov 2019, ila mpaka leo hola. Kuna ile porojo nyingine ya bomba la mafuta toka Uganda litakamilika Dec 2020, mpaka leo ni kusaini mikataba tu!! Usanii mwingine bana
 
Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.

Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi

Asema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote

Alizitaja gharama za kuzalisha umeme kwa unit kwa shilingi za kitanzania kwa kila chanzo ni kama ifuatavyo:
  • Maji ni shilingi 36 kwa unit moja
  • Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja
  • Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja
  • Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja
  • Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja
  • Gas shilingi 147 kwa unit moja
  • Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja
Alipata wapi namba hizo?? Ushahidi? Maana kuna makadirio tofautitofauiti. Nikiangalia chanzo hiki (2020 Marekani) https://www.eia.gov/outlooks/aeo/assumptions/pdf/table_8.2.pdf
umememaji si nafuu kushinda nyingine.
Nina wasiwasi hasa kwa sababu nyuklia inaonyeshwa kuwa nafuu kiasi hiki, ilhali ujenzi wa nyuklia inakwama duniani kwa sababu ya gharama kubwa! (hasa gharama ya kupanga shughuli za takataka ya kinyuklia na pia gharama za bima kwa ajali - ambazo hazikuwahi kukadiriwa hadi kuona sasa matokeo ya Japani..)
Mimi si mtaalamu lakini kama alionyesha namba za gharama kuhusu nyuklia ambazo no ndoto, basi amepata wapi gharama za umememaji???
 
Nyuklia mpaka upewe vibari na viranja mkuu siyo kuchimba tu pia hata kufunga vinu napo panahitaji ruksa kutoka kwawenye dunia.

Huu utetezi sio w kweli, maana hata eneo linapofanyika mradi wa SG ni eneo la urithi wa Dunia, na hata waziri wa wakati huo January Makamba na timu yake, walisema mradi huo haufai huko, lakini pamejengwa kwa nguvu. Tafuta utetezi mwingine, lakini sio huu.
 
Tungewekeza umeme wa nyuklia ni stable tofauti huu wa maji mvua zikipungua na wenyewe unapungua wakati wa kiangazi.
Soma vizuri umuelewe kwanza ajasema vyanzo vingine avitotumika ila kaeleza bei ya unit kwa kila chanzo cha umeme na pia ndio tunaendea huko ila tunaanza na cha bei rahisi kwanza.
 
So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Nuclear ni cheaper kuliko gasi, tatizo ni usalama; infrastarture ya Nuclear power plant inahitaji investment kubwa sana ili kuthibitisha usalama kuliko power sources nyingine.
 
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Unajua nuclea wewe au umeamka tu ukacoment
 
Prof Muhongo yupo Bungeni maana siku kadhaa nyuma nilimsikia kwamba umeme wa gesi ndio wa gharama nafuu na wa uhakika ukilinganisha na huu wa kizamani wa maji.
Mmoja ni "muongo" na mwingine "kala-mali".
 
Nyuklia management yake ni ngumu sana na gharama sana , ni umeme hatari japo nu nafuu.
Akasome chernobyl mziki wake mpaka leo hii mji bado una contamination za radiation tangu 1986 mpaka miaka kibao ijayo.

Radioactive waste zenyewe kuzi dispose bado ni changamoto.
 
Kuhifadhi taka za uranium ni changamoto sana,pia inahusisha siasa kali za dunia
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
 
Kiwango cha mahitaji yake kwa umeme ni kidogo Sana
Na sio kuwa utakuwa unachimba kila siku
Yakiisha isha muda wake, gharama za kuyahifadhi umezifikiria?

Hatari zinazotokana na ajali kama ile ya chenrbil, umeziwazia?

Maji yanayotumika kupozea vinu umeyapigia hesabu?

Utaalamu wa kuendesha miradi hiyo gharama zake umezifikiria?

Hata hivyo sina hakika na orodha hii ya Kalemani, kwa nini gesi iwe ghali kiasi hicho?

Solar na Upepo huwezi kuvitegemea kama vyanzo vya msingi wa uzalishaji wa umeme, kwa hiyo gharama yake hapo siyo halisia.
 
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?

Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Nadhani hapa waziri anaongelea gharama per unit ikihusisha gharama za uendeshaji na si za ujenzi.

Ukiongelea gharama za ujenzi nuklia ni another level ni bora ufleke hata mabilioni ya heka bado hujagusa gharama za kusimika mtambo wa nuklia.
 
Sio kudalalia, Sospeter (wahaya wanatamka "sosipateli") enzi zile walivuta mgao wao kabisa! Sospeter hadi akavimbiwa akaanzisha bifu na Mzee Reginald Mengi(RIP) kwa kusema eti hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kumiliki na kitalu cha gesi na badala yake wajikite kwenye biashara ya level zao kama kuanzisha viwanda vya kukamua juisi ya matunda....maneno ambayo marehemu Mengi yalimuuma Sana!
Prof anadharau mpaka kinyaa... Hapo penyewe alimwambia kuchimba shimo moja tu wakati wa exploration linatosha kumfilisi ...leo hii ndo anakuja na utetezi wake wa kutaka wachina wake warejee. Oh napata report za dunia nzima... Yaani huyu mjita amekubuhu kwenye majigambo mpaka anatia aibu watu wa kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom