Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

Hayo maswali niliachana nayo nasoma primary Mapambano! Eti,"....sema sasa, nilikuwa nimevaa shati la rangi gani.......!?" Ahahahahahhhh! Long time!

Baada ya smartphone kuingia wajinga wakaondoka rasmi. Sasa hivi zimebaki hoja za shuruti.
 
Dah.. hii kweli ufipa ya bavicha. Kwa hiyo wewe hizi habari kwako ni laivu yaani unategemea uwakute sasa hivi wanakusubiri wewe. Ufipa bhana dah...

Japo hujaniuliza mimi lakini ningependa kuchangia. Sio lazima akupe wamemsubiri. Anaweza kuwa kitengo kinachofanya mambo ya muhimu na hivo taarifa za ndege zinazofika na kuondoka anaweza kuzipata. Watalii wa KIA huja kwa KLM, Qatar, Turkish Airlines na kidogo PW. Wa PW hutokea Kenya. Hakuna ndege ambazo zimeingia KIA kutoka nje ya Tanzania toka tufunge wala kufungua mipaka.

Ni uongo kusema watalii wameanza kuningia halafu zikaambatanishwa picha zile!! Mambo tunayoona kwa macho hatutakubali yasemwe kwa hila.

Ujinga umetapakaa sana nchi hii, ndio maana hata waongo hawachuji hata aina ya uongo. Wanajua wataaminiwa!!
 
Waziri wa maliasili na utalii Dr Kigwangalla amedai huko Twitter kwamba watalii wameanza kuja kwa wingi nchini kwa sababu yeye ni Kijukuu cha mtume.

Hakika hili ni taifa la wachamungu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tukiachana na hawa vilaza akiwemo mtoa mada ...Ngoja tujifunze kitu hapa.







chadema is the political party which power belong to the people.
 
Hata corona mna sema imekwisha wakati watu wana kufa. Na mna sisitiza tuvae barakoa. Kama ime isha barakoa za nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Una masikio na unasikia lakini husikilizi- serikali imesema Corona ipo na narudia Corona ipo isipokuwa wagonjwa ndio wamepungua na kusema tuendelee kuchukua tahadhali.
 
Back
Top Bottom