Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

Kiongozi bora huwa na sifa za kipekee kama vile kujiamini, maono, misimamo na uwezo wa kuwa tayari kusimama peke yake katika kilicho sahihi. Magufuli wanaompinga kwa sasa ni wale wasioipenda haiba yake ambayo ni ngumu kwa kweli. Wengi hupenda zaidi viongozi wanasiasa wenye maneno mepesi ya kubembelezana.

Yeye aliona mbele mbali ambako wengine hatukuona. Hakutaka kujenga hofu ambayo wengi tuliiendekeza. Aliona kuwa corona ni ka-ugonjwa na sisi tukaliona kuwa gonjwa. Huo ndiyo uzuri wa kuwa na kiongozi shupavu. Anakuwa shock absorber kwenye makatigesheni. Tumshukuru Mungu ugonjwa haukuja awamu iliyopita iliyokuwa dhaifu kwa mujibu wa ndugu Mnyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mataga mmechnganyikiwa
 
kwa nchi zingine wasaliti wa nchi hua wananyongwa hadharani , haiwezekani wewe uombee mabaya nchi yako...unafaidika nini ukiiwazia mabaya nchi ambayo ulizaliwa humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haya ni mambo ya kisiasa.
Je hao watalii watasafiri na kampuni gani? Je kwa nini vyombo vya habari viwepo pale uwanjani?

Kwa sehemu kubwa, watalii wanao kuja na kuoneshwa kwenye vyombo vya habari ni watalii wa kimkakati, ndiyo maana vyombo vya habari vinaandaliwa ili kujulisha umma.

Si rahisi kampuni fulani iwe na wageni wasio nwa kimkakati alafu wawaite wana habari. Kuna makampuni yanapokea wageni zaidi ya 100 kwawakatimmoja laikini hutaona vyombo vya habari. TUSIDANGANYANE
 
Mkuu,ni kweli tumepokea watalii wanne (4) juzi, ndege ilitua na jumla ya watu 7,staff 3 na watalii wanne.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Em nijuze ni wa kampuni gani hao watalii??? Maana lazima kuna gari LA kampuni litakuwa limekuja wachukua. Ni vyema ukanijuza mkuu kuwa wageni wamebebwa na kampuni flani. Ili tupate uhakika zaidi.
Nitashukuru Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uongo! Ndege inayosemwa inateremsha watu kutoka Ugiriki ni PW (Precison Air).Abiria wanaosemwa wanatoka Marekani wako kwenye tarmac wakienda kupanda private jet. Hakuna watalii wanakuja na ndege iliyosajiriwa Marekani. Picha hazina hata tarehe.

Tulio KIA hatujaona hayo unayosema yametokea. Tuache propaganda.
 
Back
Top Bottom