Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Hivi wanafikiri utalii ndyo utafufua uchumi wetu kwa sasa? Kwanini nguvu nyingi wanaweka kwenye utalii. Kwanza Rais anadai tupo VITANI alafu watalii/ mabeberu nao wajichanganye vitani!
Ni kujidanganya kuwa uchumi utafufuliwa na utalii.
Huu ndyo muda serikali ilitakiwa kuja na stimulus packages kufufua secta binafsi na viwanda.
Sasa hawaongelei viwanda wao ni utalii tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutuwekea figures utalii unaingiza pesa kiasi gani? Unaweza vile vile kutueleza nguvu walizotumia zimeingiza hasara kiasi gani? Au tukiwa vitani hakutakuwa na biashara yoyote?
BTW unataka packages za kufufua viwanda unaweza kutolea mfano wewe unataka kufungua kiwanda gani na usaidiwe vipi? As far as I know Banks sasa hivi zinatoa mikopo sio kama wakati wa zamani, unaishi nchi gani?