Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

.
IMG_20200525_110743.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi bora huwa na sifa za kipekee kama vile kujiamini, maono, misimamo na uwezo wa kuwa tayari kusimama peke yake katika kilicho sahihi. Magufuli wanaompinga kwa sasa ni wale wasioipenda haiba yake ambayo ni ngumu kwa kweli. Wengi hupenda zaidi viongozi wanasiasa wenye maneno mepesi ya kubembelezana.

Yeye aliona mbele mbali ambako wengine hatukuona. Hakutaka kujenga hofu ambayo wengi tuliiendekeza. Aliona kuwa corona ni ka-ugonjwa na sisi tukaliona kuwa gonjwa. Huo ndiyo uzuri wa kuwa na kiongozi shupavu. Anakuwa shock absorber kwenye makatigesheni. Tumshukuru Mungu ugonjwa haukuja awamu iliyopita iliyokuwa dhaifu kwa mujibu wa ndugu Mnyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom