Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

3758BDB0-6278-4AB3-8107-6800C6D534DF.jpeg
 




Huyo bwana ni mshauri wa PM huko kwao alienda kutembelea wazazi wakati wa lockdown watu sasa hivi wanataka afukuzwe kazi. Yeye mwenyewe naona atakuwa anajutia hayo maamuzi (mind you many ppl do the same thing in secret everyday but the government isn’t bothered, hila kiongozi unatakiwa kuwa mfano).

Imagine hilo shirika la ndege litakalo jitia kiherehere kupakia watalii wa EU kuwapeleka popote duniani labda kama huyo CEO kazi kachoka.

Hawa watu serikalini kwetu need to get real with life mapato kila mtu anapoteza this is why ppl conduct risk assessment and devise mitigation strategies to minimise the impact.

Sio kujifanyia mambo kutoka kichwani kwako you will suffer if you don’t play by the rules.
 
Nilichojifunza kwenye awamu ya tano ni kwamba ni rahisi sana kumtawala mjinga!
 
Hakika hii habari ingekuwa ya kweli kungekuwa na bonge la picha (tena hata kumi) lenye kusheheni watu weupe na uhakika wa habari, ama kweli mmeishiwa hoja.
 
Mmawia, Salary Slip, Technically na wengine karibuni kwenye uzi!!!

Kizazi cha wajinga kiliisha baada ya matumizi ya smartphone kuanza. Ndege kutoka Marekani haina jina? Waitaje hiyo ndege tuingie mtandaoni tujiridhishe. Hatukatai kama ndege imekuja, watuambie ni ya shirika gani, halafu tutajiongeza wenyewe.
 
Kiongozi bora huwa na sifa za kipekee kama vile kujiamini, maono, misimamo na uwezo wa kuwa tayari kusimama peke yake katika kilicho sahihi. Magufuli wanaompinga kwa sasa ni wale wasioipenda haiba yake ambayo ni ngumu kwa kweli. Wengi hupenda zaidi viongozi wanasiasa wenye maneno mepesi ya kubembelezana.

Yeye aliona mbele mbali ambako wengine hatukuona. Hakutaka kujenga hofu ambayo wengi tuliiendekeza. Aliona kuwa corona ni ka-ugonjwa na sisi tukaliona kuwa gonjwa. Huo ndiyo uzuri wa kuwa na kiongozi shupavu. Anakuwa shock absorber kwenye makatigesheni. Tumshukuru Mungu ugonjwa haukuja awamu iliyopita iliyokuwa dhaifu kwa mujibu wa ndugu Mnyika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo sifa ulizomwaga hapo juu zinahusiana na hiyo picha ya watalii hapo uwanjani?
 
Kizazi cha wajinga kiliisha baada ya matumizi ya smartphone kuanza. Ndege kutoka Marekani haina jina? Waitaje hiyo ndege tuingie mtandaoni tujiridhishe. Hatukatai kama ndege imekuja, watuambie ni ya shirika gani, halafu tutajiongeza wenyewe.
Umeishakuja? Ahahahahah!
 
Sijaja, nipo muda mrefu naondoa upotoshaji wowote. Taja hilo shirika la ndege ili tuanike uongo wote mara moja.
Hayo maswali niliachana nayo nasoma primary Mapambano! Eti,"....sema sasa, nilikuwa nimevaa shati la rangi gani.......!?" Ahahahahahhhh! Long time!
 
Back
Top Bottom