Hayo maswali niliachana nayo nasoma primary Mapambano! Eti,"....sema sasa, nilikuwa nimevaa shati la rangi gani.......!?" Ahahahahahhhh! Long time!
Moja mbili tatu.... Hakuna nne tano sita... Wala saba nane tisa.... Kweli wameanza kuja....
Dah.. hii kweli ufipa ya bavicha. Kwa hiyo wewe hizi habari kwako ni laivu yaani unategemea uwakute sasa hivi wanakusubiri wewe. Ufipa bhana dah...
Una masikio na unasikia lakini husikilizi- serikali imesema Corona ipo na narudia Corona ipo isipokuwa wagonjwa ndio wamepungua na kusema tuendelee kuchukua tahadhali.Hata corona mna sema imekwisha wakati watu wana kufa. Na mna sisitiza tuvae barakoa. Kama ime isha barakoa za nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe hujafa kwa corona?Hata corona mna sema imekwisha wakati watu wana kufa. Na mna sisitiza tuvae barakoa. Kama ime isha barakoa za nini?
Sent using Jamii Forums mobile app