Mbna utopwinyo mnaweweseka sanaCAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berka ne ni sawa kabisa maana waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati hauhusishi pitch, hivyo haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry. Full stop
MKAN'GOE VITI ????Mechi itachezwa Lunyasi mtake msitake😂
MKAN'GOE VITI ????
NENDENI NUNGWI HUKO.
Na uzee wotee huo humu Jf bado unatumia kipeperusha kupost zaidi ya mara 1 😂😂 kweli mnapaswa kulea vitukuu majumbani kwenu. Haya mambo ya fb wewe kidingileeeee🚶
CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berka ne ni sawa kabisa maana waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati hauhusishi pitch, hivyo haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry. Full stop
Nimemsikia zezeta mmoja amepeleka CAF utetezi wa eti tayari wameshauza ticket 12000, pumbavu eti hiyo nayo ni hoja; mbona tarehe 8 mechi haikuchezwa wakati ticket 40000 tayari zilishauzwa na watu walishaingia uwanjani? Mjinga anasema amepeleka CAF ushahidi wa utabiri wa hali ya hewa kuwa tarehe 25 hakutakuwa na mvua. Simba ni timu ya wendawazm.Mnapigwa uboo nyinyi...
Naona mapunga mmepata platformCAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berka ne ni sawa kabisa maana waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati hauhusishi pitch, hivyo haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry. Full stop
Simba ni roporopo wengi waliokusanyana kutengeneza timu inayolialia.Mbumbumbu wepesi sana wa kusahau, Kuna siku Mwenyekiti wao Mangungu aliulizwa kuhusu swala la uwanja kufungiwa baada ya mechi ya Al masry.
Mwandishi alitaka kujua watachezea wapi mechi ya Stellenbosch, Mangungu alimjibu mwandishi wao Simba tayari walisha waandikia CAF kutumia uwanja wa Aman Complex.
Alisema Kanuni zinawataka wawe na viwanja viwili vya nyumbani walivyo chagua ili ikitokea tatizo waweze kutumia kisicho na tatizo.
Wao Simba walisha chagua Aman Complex muda mrefu, kinacho tokea kwa sasa ni kuwaongopea Mashabiki mbumbumbu wakati Viongozi wanaelewa ukweli wote.
Nadhani waziri wetu alikosea kusema hadharani kuwa pichi ya uwanja wa Mkapa sio sehemu ya ukarabati, hiyo inamaana kuwa kama mvua itanyesha hali itakuwa kama vile ilivyotokea kwenye mechi ya Simba na Al masry. Kila mtu aliona kuwa uwacha uliharibika na mpira ulichezwa kwa tabu sana siku ile.
Majutia fedha za walipa Kodi kutumika kwa mambo ya hovyo yanayotutia aibu.Mbna utopwinyo mnaweweseka sana