The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Waziri Patrobas Katambi is very right 100%🤣Wakuu
Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anawabatiza watu wenye mitazamo mbadala kama "wasaliti" na "choroko zisizoiva," huku akitumia mifano ya kidini kumweka Rais kwenye nafasi ya asiyekosea.
hizi kazi ya uchawa ni ngumu kubabake. ngumu sanaWakuu
Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anawabatiza watu wenye mitazamo mbadala kama "wasaliti" na "choroko zisizoiva," huku akitumia mifano ya kidini kumweka Rais kwenye nafasi ya asiyekosea.
Waziri Katambi ameyasema hayo katika hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi, Kurasini, Da es Salaam tarehe 28 Mei, 2026.
***** la AbdulWaziri Patrobas Katambi is very right 100%🤣