Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

Hii ni vita kubwa sana.tumuombee mheshimiwa waziri aishinde.anapambana na watu wenye nguvu sana za kifedha.ni zaidi ya wauza unga hawa jamaa.hakuna waziri aliingia wizara hii akashindwa kubadili maisha yake jumla kwa fedha za kununuliwa .yaani ukiktaa kuchukua hela wewe naibu wako anachukua au katibu au mkurugenzi halafu unahujumiwa mpaka Raisi anakuona wewe fala.ndiyo manaa naiona dhamira ya mheshimiwa kuweka wanajeshi kuanzia katibu mkuu mpaka mwenyekiti wa TANAPA
 
hiyo ishatokea Tanzania sijui una miaka mingapi tizama azimio la Arusha tulichukua vitu vya watu tukalipa mamilloni uwezi kuchukua vitu vya watu wakati watu wana insurance ya serikali iliyopita , tukikosa mpaka sabuni na beer zikawa hakuna
Porojo tu! Hakuna kitu chochote atakachokifanya. We utasikia kimya tuu! Zaidi zaidi utakujakumsikia tena kwenye kampeni za kuutaka urais.
 
Hii ni vita kubwa sana.tumuombee mheshimiwa waziri aishinde.anapambana na watu wenye nguvu sana za kifedha.ni zaidi ya wauza unga hawa jamaa.hakuna waziri aliingia wizara hii akashindwa kubadili maisha yake jumla kwa fedha za kununuliwa .yaani ukiktaa kuchukua hela wewe naibu wako anachukua au katibu au mkurugenzi halafu unahujumiwa mpaka Raisi anakuona wewe fala.ndiyo manaa naiona dhamira ya mheshimiwa kuweka wanajeshi kuanzia katibu mkuu mpaka mwenyekiti wa TANAPA
 
Vijana tayari wamejipanga (standby) kusindikiza msafara wa kuelekea uwanja wa ndege, ikibidi.
 
Hili limekaa vizuri. Mikataba ya kikoloni au kimangungu haina nafasi tena.
Lakini approach iwe tofauti. Wakae nao na kuwaeleza ukweli huo

Chifu Mangungu na Mtemi Isike wa Unyanyembe walikuwa hawajui kusoma.

Mwinyi, Mkapa na Kikwete walijua wanauza nini.

Nchi zetu changa zinaliwa kinyama kupitia chaka la ofisi ya Rais.
 
Fidia nyingine za kumlipa Muarabu zinanukia
tunaweza kulipa fidia huku tukilipwa fedha za uaminifu ili mambo yaishe!
Kila siku tunauliza humu hivi walioingia hiyo mikataba ya umilikishaji na ubinafsishaji hawapo hapa nchini ama hawajulikani?
 
tunaweza kulipa fidia huku tukilipwa fedha za uaminifu ili mambo yaishe!
Kila siku tunauliza humu hivi walioingia hiyo mikataba ya umilikishaji na ubinafsishaji hawapo hapa nchini ama hawajulikani?

Haya magumu ndugu,
 
Ukifika kwenye kambi yao huko Loliondo simu ina andika hivi “Etisalat welcome you back to UAE For any enquiries or information about our services please call our Customer Service Number 101 - We are at your service.”
 
hawa watu wamepata vibari kutoka kwenye serikali kufukuza tu na wana hati miliki sio kitu kidogo , tunarudi kwenye azimio la Arusha inavyoonekana
Acha tu turudi!! Kwanza hawa OBC waliteketeza kijiji kizima kwa madai kuwa eti hilo eneo la kijiji ambacho kimekuwepo hapo kwa makumi ya miaka kipo ndani ya eneo lao! Tena Kigwa angetupa ruhusa tukawaondoe wenyewe,wametuulia ndugu zetu wengi sana hawa hayawani! Mwarabu ni shetani kabisa!!!!
 
Back
Top Bottom