Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni kukaa naye. Aelezwe kuwa upo mkataba lakini siyo fair. Inawezekana. Tukienda kiubabe, we will pay dearly!sidhani kama mwarabu aliingia mkataba wa kilofa. Labda kwa vile ni waarabu na akili za .....You will pay dearly
within the confines ofnthe law!Hii ni vita kubwa sana.tumuombee mheshimiwa waziri aishinde.anapambana na watu wenye nguvu sana za kifedha.ni zaidi ya wauza unga hawa jamaa.hakuna waziri aliingia wizara hii akashindwa kubadili maisha yake jumla kwa fedha za kununuliwa .yaani ukiktaa kuchukua hela wewe naibu wako anachukua au katibu au mkurugenzi halafu unahujumiwa mpaka Raisi anakuona wewe fala.ndiyo manaa naiona dhamira ya mheshimiwa kuweka wanajeshi kuanzia katibu mkuu mpaka mwenyekiti wa TANAPA
makiniKia mmeshinda nini tangible?Naamini hii kauli ya Kigwangalla ina baraka zote za Mkulu, hivyo naamini hili swala litafuatiliwa kiundani kama swala makinikia.
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
sawa kabisa. Unakaa na mtu kuwa jamani hapa ulinichota akili, basi turekebishe ili watu wangu wapate chumvi ya mboga. Mwungwana atasikia hoja yako ambayo ni quite genuine.Issue ni kukaa naye. Aelezwe kuwa upo mkataba lakini siyo fair. Inawezekana. Tukienda kiubabe, we will pay dearly!
Ukiwa huna cha maana cha kuchangia wakati mwingine mtu ukae kimya tu usome maoni ya wenzako ya kizalendo. Umenitia hasira bure. Eti kushitakiwa..... nilitaka nikut....sheria imenibana.haya mambo yashatokea zaamani miaka ya 70 azimio la Arusha , tukapigwa vita tukawa hatuna hata sabuni , tunarudi tena kwenye mambo hayo uwezi kuyanganya vitu vya watu wakati walipewa na serikali ya ccm ?. mwishowe tutakwenda mahakamani kulipa fidia kesho wanaweza kuchukua mali za wafanya biashara za wazalendo
Ni kweli swala la makinikia finishing imekua mbovu....lakini sio haba kwa alivyojaribu...makiniKia mmeshinda nini tangible?
ongeza 1 tumkataba wa miaka 99.. kwa nini wasingefanya 100 tu
Kabla huja post jitaidi ku edit Post yako.tuwe wakweli tumenyanga mashamba ya watu majumba mashuke msikiti mahospital makanisa , kikwapi bado maskini uwezi kuchukuwá vitu vya watu wamepewa na chama tawala , pay back nothing for free , hayo mambo yalipita na hawamu ya kwanza tukawa hata beer hatuna tunarudi tena huko
kibaraka mpumbavuHao jamaa wamepata eneo hilo kihalali.
Na wanalipa fedha nyingi.
Hili ni eneo la mbuga za wanyama sio la kulima.
Sasa hivi kuwapo kwao kumesaidia sana kuhifadhi wanyama na mazingira.
Ndo maana Mkapa aliwapa na aliwatetea sana kuwa lato lao ni muhimu kuliko lingeachwa kwa poachers na wavamizi.
Wenyewe wanakuja mara chache kwa mwaka.
Kampeni hizi zilianza ki udini ..kwanini apewe mwarabu....angekua mzungu isinge kuwa noma.
Wana vijiji wamepata misaada mingi sana kama shule maji na hospital..
Na wanalipa kodi...
Kuwaondoa haileti faida yoyote ile zaidi ya furaha ya nafsi za uchoyo
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
Stan Katabaro my best Tanzanian investigative journalist...!!Huyo mwarabu ndo tunaambiwa huku JF kuwa hilo eneo lake ana mtandao binafsi wa simu?
Na hii ishu ndo iliondoa uhai wa Stan Katabaro?
pasco
Na hawata ondoka kwa chuki binafsi za udini.kibaraka mpumbavu