Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

Huyo mwarabu ndo tunaambiwa huku JF kuwa hilo eneo lake ana mtandao binafsi wa simu?
Na hii ishu ndo iliondoa uhai wa Stan Katabaro?
pasco

Issue ya Loliondo iliyochimbuliwa na Stan Katabalo ina tetesi za kuhusika na bwana mmoja wa Arusha hukohuko miaka hiyo ambaye baadaye alikuja kuwa mkuu wa chama fulani cha mchezo unaopendwa sana. Huyo bwana huko michezoni aligomabana sana na serkali na hatimaye akaondoka kwa uchaguzi tena kwa mbinde.

Mwingine wa Arusha hukohuko enzi hizo anayesemwasemwa ni yule anayetuhumiwa sana kungo'a tembo meno, baadaye akawa kampeni manager wa cha fulani na baadaye tena akawa katibu mkuu wa chama hicho alihokiokoa kutoka shimoni.
 
Hawa Waarab wa Ortello watamkimbilia fasta Mzee Kinana, sbb mzee Kinana ndio rafiki yao mkubwaaaa.. So i believe, wananchi sasa wamepata Mkombozi Mh Rais wetu JPM, na hawa waarabu wa OBC wataondoka haraka sana, wamechuma vya kutosha.. Najua kwa hili Mzee Kinana atawaambia wazi TIME HAS CHANGED kuwa waondoke tu, mm ni CCM 100% ila inabidi tukosoane na kunyoosheana vidole na kurekebishana ili nchi yetu iende mbele, OBC waondoke haraka plz... Hongera Mh. Kigwangala sana sana...
Ur very right Comrade
 
Kitu muhimu ni kupiga mahesabu tukuiwaodoa hawa, hilo eneo litatuletea faida zaidi ya huyu mwarabu? JEE tokea alipopewa hiyo sehemu kawaletea wananchi wa hiyo sehemu manufaa ya kiasi gani? Analipa kodi NA malipo vizuri? Ameendelaje hiyo sehemu?

Hayo NA mengi yanastahili kujiuliza kabla ya kukurupuka. Nina imani ya kuwa jama kaendeleza hiyo sehemu kushinda sehemu zote za aina hiyo Tanzania yanayo milikiwa NA wazungu ama wazawa.
 
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.

Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
Safi sana tunafumba macho....tunaamua..eti miaka 99 na hao wasonjo hapo watawinda nini?...... Hivi tulilogwaga na nani?....... Safi kingwangala ila ukumbuke jimboni tunakuhitaji ujenge hii barabara ya kutoka busondo kwenda tongi
 
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.

Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
Aliyewapa hiyo Loliondo ni kichaa
 
Yan katika wizara nilikuwa naomba kila siku muujiza wa namna hii utokee basi ni wizara hii ya maliasili na Utalii maana nafikiri hata wanyama wa maeneo ya loliondo watakuwa wamefanya sherehe baada ya kusikia hilo Bango la mmh.waziri kwa sababu ilikuwa imefikia hatua wanyama wanaopakana na hili Pori la Loliondo wamekuwa waoga sana waonapo magari ya Utalii na watalii wakiiinua camera kupiga picha wanyama walikuwa wakitimua Mbio kwa kudhani wanataka kupigwa risasi: kwa ufupi huu uwindaji umefanya wanyama kuishi kwa wasiwasi sana kutokana na kuuwawa hovyo na hawa waarabu. Hongera waziri ila ni matumaini yangu kuwa utafuta biashara ya uwindaji wanyama Pori kabisa ili tubaki na Utalii wa kutembelea na kuona wanyama na sio kuwauwa: we better shoot animals by camera not by gun..
 
Hapa tuwe wazalendo, tu fight for our natural wealth, sio kusema tuone kama wazir ataweza kuwafukuza, tumuunge mkono ndio tutapata mafanikio,
Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Kwanza CCM na serikali ambayo kwa miongo 4- 5 imeongozwa na CCM iombe radhi kwa "kuwa-bepari" watanzania(wadanganyika) kwa miaka yote hiyo. Isiwe leo kujivika "uzalendo wa mwendokasi" wakati makosa waliyofanya wao ndiyo yamesababisha maumivu sana kwa wadanganyika wanyonge. Waanzie hapo, baadae ndio waombe kwa heshima ushirikiano na kuungwa mkono na wananchi na sio kwa vitisho na risasi na kuita watu wasaliti, pia wakubali kukosolewa.

Wameingia makubaliano hivi karibuni na Barrick, waanze kuonesha mfano kwa kuweza wazi yale makaratasi waliyosaini, hata kama ni kuyapeleka bungeni ili wawakilishi wa wananchi wayaone na kujiridhisha kama ni kweli yale wanayosema kwenye majukwaa na taarifa ndio yale yaliyomo kwenye makaratasi yale.

Unakumbuka kuna watu waliitwa "tumbiri/tumbili kwa kuwa wazalendo?
Unakumbuka Escrow ilisemwa si fedha za umma?
Unakumbuka ni nani walifanya na kusema hayo?

Kwa nini unataka watu wawaamini hawa wanaosema walipoingia sukari ilikuwa shs.5000 au wamejenga hosteli kwa 500milioni kwa bweni moja?

Vipi tutajiridhisha kwamba "hawatelezi ulimi" tu kwa kujivisha uzalendo leo, huku wakiutumbua uchumi wa mnyonge wa kitaa?

Tunapenda sana kuwaunga mkono lakini tumeshaumwa na nyoka mara nyingi. Mfano wa karibuni ni wa Katiba mpya. Leo wanasema "katiba mpya si muhimu". Wao wanasema la muhimu ni chakula lakini hawaweki msukumo wowote wa kukuza kilimo ili kupata chakula.
 
M ni mlengo wa kushoto, lakn katk hil naunga mkono 100% ila taratb zifuatwe
 
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.

Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635

Ingekua vyema kama Naibu Waziri will provide us with analysis, what’s the content of the initial agreement, the benefits and the NOT benefits, where are all the money from the initial agreement to date, where was spent on, and so on, who was initially responsible ? And Why?

And more importantly the issues and The future plan, and how will that fit the agenda, and so on,

In summary, Mh Naibu we don’t want to hear the empty barrels making a lot of noises without a proper and well planned actions, please throw us with specific, we don’t want to end up with 5, 10, 100 ml $ as “kishika uchumba”, and all the rhetoric, makelele, mihemko, you name it come to a crushing end,

I hope they won’t repeat a secrecy options on this, we want to see it open, providing us with an abstract and all to see!
 
Back
Top Bottom