Maneno hayo bado mna ujasiri wa kuyaongea??nchi ya matamko,je hao wawekezaji wapo kihalali au kimagumashi?naogopa tusijekunyolewa bila maji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno hayo bado mna ujasiri wa kuyaongea??nchi ya matamko,je hao wawekezaji wapo kihalali au kimagumashi?naogopa tusijekunyolewa bila maji!
Alimshughulikia tapeli Mwaka mpaka kahama nchi !Hivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
Huyo mwarabu ndo tunaambiwa huku JF kuwa hilo eneo lake ana mtandao binafsi wa simu?
Na hii ishu ndo iliondoa uhai wa Stan Katabaro?
pasco
Ur very right ComradeHawa Waarab wa Ortello watamkimbilia fasta Mzee Kinana, sbb mzee Kinana ndio rafiki yao mkubwaaaa.. So i believe, wananchi sasa wamepata Mkombozi Mh Rais wetu JPM, na hawa waarabu wa OBC wataondoka haraka sana, wamechuma vya kutosha.. Najua kwa hili Mzee Kinana atawaambia wazi TIME HAS CHANGED kuwa waondoke tu, mm ni CCM 100% ila inabidi tukosoane na kunyoosheana vidole na kurekebishana ili nchi yetu iende mbele, OBC waondoke haraka plz... Hongera Mh. Kigwangala sana sana...
Safi sana tunafumba macho....tunaamua..eti miaka 99 na hao wasonjo hapo watawinda nini?...... Hivi tulilogwaga na nani?....... Safi kingwangala ila ukumbuke jimboni tunakuhitaji ujenge hii barabara ya kutoka busondo kwenda tongiWaziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
Safi lirudi tu......hatutaki wezi.hawa watu wamepata vibari kutoka kwenye serikali kufukuza tu na wana hati miliki sio kitu kidogo , tunarudi kwenye azimio la Arusha inavyoonekana
Aliyewapa hiyo Loliondo ni kichaaWaziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Na ndiko ambako bwana 'Tigwa' alipanda ndege akakaa kwenye seat?
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
Hapa tuwe wazalendo, tu fight for our natural wealth, sio kusema tuone kama wazir ataweza kuwafukuza, tumuunge mkono ndio tutapata mafanikio,
Kwanza CCM na serikali ambayo kwa miongo 4- 5 imeongozwa na CCM iombe radhi kwa "kuwa-bepari" watanzania(wadanganyika) kwa miaka yote hiyo. Isiwe leo kujivika "uzalendo wa mwendokasi" wakati makosa waliyofanya wao ndiyo yamesababisha maumivu sana kwa wadanganyika wanyonge. Waanzie hapo, baadae ndio waombe kwa heshima ushirikiano na kuungwa mkono na wananchi na sio kwa vitisho na risasi na kuita watu wasaliti, pia wakubali kukosolewa.Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Kwa hiyo hii ndiyo the biggest and proudest accomplishment ya Kigwangala?Alimshughulikia tapeli Mwaka mpaka kahama nchi !
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
kihalali mpaka miaka 99 iishe tangu miaka ya 90 wameanza umilikinchi ya matamko,je hao wawekezaji wapo kihalali au kimagumashi?naogopa tusijekunyolewa bila maji!
ndio ukoloni huomkataba wa miaka 99.. kwa nini wasingefanya 100 tu
Ni kweli, kwa sababu huyo mwarabu alishashindikana.Hapa tuwe wazalendo, tu fight for our natural wealth, sio kusema tuone kama wazir ataweza kuwafukuza, tumuunge mkono ndio tutapata mafanikio,