Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Haina umuhimu sana,watalii wapo wa mataifa mbalimbali sio waingereza peke yao
Kwa wizara anayoiongoza ni vyema sana akiijua vizuri kwa hiyo ajitahidi tu kukifahamu siyo dhambi ila pia siyo vyema kumkashifu ikitokea makosa madogo hiyo siyo lugha yetu kwa hiyo kukosea hakuepukiki
 
'Bosi' wake kinampiga chenga nini yeye 'bwana mdogo' tu.
 
Huku tunafika mbali.

Tusisujudie lugha ya utumwa na kudharau yetu ambayo Mwalimu Nyerere alipambana mno kuhakikisha Kila mtu anaizungumza...

Ufaransa, Ujerumani, Uchina, Urusi, Japan, South Korea, India na wengineo wote ambao wana nguvu wanatumia lugha yao....

Jifunzeni kuheshimu vya kwenu.

NYUMBANI NI NYUMBANI
 
Kigwangwallah anashambuliwa eti kwa kusema kuwa "Kilimanjaro is the tallest mountain in Africa", wanadai eti hakupaswa kutumia neno "Tallest", wanasema eti alipaswa kutumia neno "highest"

Hao ndo hawajui kiingereza, Ni sahihi kabisa kutumia neno tallest mountain, haina shida hata kidogo, ni lugha sahihi kabisa

Angalia mfano wa hii picha

 
Sasa hao watalii wanaotuletea pesa za kigeni tuwasiliane nao kwa lugha za ishara?
 
The highest mountain in Africa
 
Bweni gani mkuu, Ruvu, Kagera au? enzi zetu rice cooker zilikua hazipo!
 
Sasa hao watalii wanaotuletea pesa za kigeni tuwasiliane nao kwa lugha za ishara?
Tuna uwezo wa kuwa na wakalimani.

Mtu kutokujua Lugha ya malkia isiwe sababu ya yeye kutokupata nafasi.

Ukienda China Hadi mikataba na mataifa au makampuni ya uwekezaji ya nje wanaandika kichina, kwahiyo inakuwa juu yako kutafuta mtafsiri au mkalimani.

Haya mazungu haya tunayanyenyekea ila sio mazuri , angalia mfano mbichi tu wa Georgee Floyd. Hivyo haina haja ya kuyashobokea.
 
Hata tallest mountain ni sahihi, nimeona sehemu kibao online watu wakitumia neno tall kwa milima na hata majengo
Mountain

As mountains are generally measured from sea level, Mount Everest 29,035 ft (8,850m) is considered to be king. However, there is a difference between the highest and tallest.

What is the difference between highest and tallest?

The peak of the highest mountain is the furthest away from sea level.

The peak of the tallest mountain is the furthest away from the base of the mountain.

What is the highest mountain in the world?

At 29,035 ft (8,850m), Everest is the highest mountain in the world. Everest is 29,035 feet above sea level.

What is the tallest mountain in the world?

Mauna Kea is the tallest mountain on Earth. Measured from top to its base below sea level, Mauna Kea beats Everest by 4,436 ft. (over 3/4 of a mile).

Did you know?
Although Mount Everest, at 29,035 ft (8,850m) tall, is often called the tallest mountain; Mauna Kea, an inactive volcano on the island of Hawaii, is actually taller. Only 13,796 feet of Mauna Kea stands above sea level, however, if you measure it from its base, which is below sea level, it is 33,465 feet. If you stand Mauna Kea and Mount Everest next to each other, Mount Kea would be 4,436 feet taller!
Mount Everest is stll growing!
Mount Everest (all all the other mountains in Himalayas) are still growing higher, at a rate of about 2.4 in/6.1cm per year, as the Indian Tectonic Plate slides north under the Eurasian Plate. That means in the last 26,000 years the Himalayans have risen almost a mi
 
... nikawauliza mabosi wetu kulikoni, mbona mimi napata kazi nyingi kuliko yule jamaa...
 

So we all agree that you can use a word "Tallest" to refer to a mountain.

So gramatically, Kigwangwallah alikuwa sahihi.

Tukija geographically, bado yuko sahihi kwa sababu in Africa Kilimanjaro bado ni Tallest Mountain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…