Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Kabisa na mtu wa namna hiyo apewe kipigo cha kimataifa mana anahujumu nchi.kusema mtu hajui kiingeleza mara yes mara no huu sio uzarendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa na mtu wa namna hiyo apewe kipigo cha kimataifa mana anahujumu nchi.kusema mtu hajui kiingeleza mara yes mara no huu sio uzarendo
Hapa ndipo wengi wanajichanganya na kuona high na tall yanaweza kutumika interchangeably lakini kiuhalisia yana maanisha concept tofauti.Sasa mlima kilimanjaro sio tallest bali ni highest.
Tallest - mrefu zaidi
Highest - Juu zaidi
Mlima kilimanjaro sio mrefu zaidi bali upo juu zaidi kutoka usawa wa bahari.
Hata biggest mountain au huge mountain poa tu, la msingi kuelewana mengine mbwembwe.Basi the longest mountain.
Au the mountain with many many kilometers
Hapo sasa.Hivi kumbe kabila lake ni Mkimbu?
Mwenyewe ameshakubali kwamba kakosea sasa nini wewe kupambapamba tena hapa kwamba yupo sahihi? Wabongo bwanaKigwangwallah anashambuliwa eti kwa kusema kuwa "Kilimanjaro is the tallest mountain in Africa", wanadai eti hakupaswa kutumia neno "Tallest", wanasema eti alipaswa kutumia neno "highest"
Hao ndo hawajui kiingereza, Ni sahihi kabisa kutumia neno tallest mountain, haina shida hata kidogo, ni lugha sahihi kabisa
Angalia mfano wa hii picha
View attachment 1471738
Ni watu na sio sheria ya lugha yenyeweHata tallest mountain ni sahihi, nimeona sehemu kibao online watu wakitumia neno tall kwa milima na hata majengo
Inategemea na familia unayotoka. Kwetu rice cooker tunayo kuanzia mwaka 1986, tv yetu ya kwanza Grundig mzee alikuja nayo toka German mwaka 1985.Bweni gani mkuu, Ruvu, Kagera au? enzi zetu rice cooker zilikua hazipo!
Nani aliekwambia Watlii wote wanaokuja Tanzania wanazungumza Kingereza???dadisi ujue...Umoja wa ulaya nchi inayozungumza Kingereza ni UK tuu...na kule America ya Kaskazini ni Marekani na Canada tena Canada Quebec wanazungumza kifaransa...Nenda Zanzibar uonane na Beach boy wakupe maarifa.Sasa hao watalii wanaotuletea pesa za kigeni tuwasiliane nao kwa lugha za ishara?
Ni watu uliowaona wala sio sheria ya lugha yenyeweHata tallest mountain ni sahihi, nimeona sehemu kibao online watu wakitumia neno tall kwa milima na hata majengo
Nadhani jiwe angemuundia wizara ya 'sosho netiweki' awe kazi yake kujidungua selfie na kupost michambo ya 'bwana ake'.Waziri wa maliasili wa twitter
Jr[emoji769]
Commonwealth ilienea 3/4 ya dunia, ni 1/4 ndiyo hawazungumzi Kiingereza duniani. Hata hivyo nchi za Ulaya ni lazima mtoto shule I afundishwe lugha ya ziada. Watoto wa Uingereza wanajifunza aKijerumani, Kihispania au Kifaransa hivyo hivyo na watoto watoto wa EUNani aliekwambia Watlii wote wanaokuja Tanzania wanazungumza Kingereza???dadisi ujue...Umoja wa ulaya nchi inayozungumza Kingereza ni UK tuu...na kule America ya Kaskazini ni Marekani na Canada tena Canada Quebec wanazungumza kifaransa...Nenda Zanzibar uonane na Beach boy wakupe maarifa.
Au the biggest mountain......Basi the longest mountain.
Au the mountain with many many kilometers
Si Bora kiingereza cha Nyani, Cha Kiranga sasa ndio utajua kuwa hii lugha huku tunajifanya tunaijua ila hatuijui kabisa.
Ni watu na sio sheria ya lugha yenyewe
Kwa taarifa yako...lugha ya ziada inayosomwa zaidi na nchi za ulaya ni Kifaransa na Kijerumani...na ni kwa sababu 1,Ujerumani ndpio nchi inayotoa Ajira nyingi zaidi kwa watu wanachama wa ulaya 2,ufaransa ndio nchi ambayo raia wake wengi hawajifunzi lugha za watu kwa hyo uwawia ngumu watu wa Nchi nyingine za ulaya wakisafiri huko...Commonwealth ilienea 3/4 ya dunia, ni 1/4 ndiyo hawazungumzi Kiingereza duniani. Hata hivyo nchi za Ulaya ni lazima mtoto shule I afundishwe lugha ya ziada. Watoto wa Uingereza wanajifunza aKijerumani, Kihispania au Kifaransa hivyo hivyo na watoto watoto wa EU
NakaziaMimi kipindi kiingereza kipo sheki nilibahatika kukutana na Natives wenyewe,Americans. Waligundua kiingereza si lugha yangu hivyo wakawa wananiongelesha kwa spidi ndogo ili nielewe na mimi nikawa najibu kwa uwezo wangu na nikawa naeleweka.Ila kuna Mkenya fulani tulikuwa naye yeye alikifahamu sana tu na akawa anaona atapata ujiko zaidi kwa udhaifu wangu.Ila chakushangaza kazi nyingi zikawa zinakuja kwangu.
Siku moja nikawauliza mabosi wetu kulikoni,mbona mimi napata kazi nyingi kuliko yule jamaa.Wakasema wamependa jinsi ninavyofanya kazi zangu.Nikawauliza kuhusu lugha yangu sababu mwenzangu accent yake ilikuwa nearly American.Wakasema hilo nisijali,kwa spirit niliyonayo ntajua tu.Mwisho wakaniambia wanaenjoy kusikia Foreign Accent.
Baadaye kikakaa kichwani,japo si kivile.Sasa WaTz wenzangu huu ujasiri wa kuchekana kwenye lugha za kigeni sijui tunautoa wapi.
Ha haaa, pia nimeisoma ikabidi nicheke kama kilichoandikwa ndiyo nukuu halisi ya 'waziri wa twitter' basi ni bongo muvi.Hii story ni ya kutunga.
1. Alifungua mlango kwa " master key"...maana yake lazima kilikuwa ni kitasa.
2. Akaondoka akaweka "lock"...sijui ulikuwa mlango wa gari?
3. Akanirudishia funguo zangu.
Izo funguo zako alikunyanganya lini?