Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

Sifa mojawapo ya kiwanda lazima kiwe na process za uzalishaji (manufacturing).
Hawa wanaofanya assembly hawakidhi vigezo vya kuitwa viwanda. Badala yake wanaitwa karakana (workshop).
Cha muhimu ni Ajira kwa Vijana wetu Ndugu.
 
Kwahiyo hao wanaomalizia kutengeneza ni Mapepo au ni Watanzania?!
Yani kama gari linauzwa milioni mia, milioni 95 inazalishwa nje na milioni 5 ndio inazalishwa nchini. Hii local content ni kidogo sana.
 
Yani kama gari linauzwa milioni mia, milioni 95 inazalishwa nje na milioni 5 ndio inazalishwa nchini. Hii local content ni kidogo sana.
Nimeongelea Ajira wanazopata Vijana wetu kwenye hiyo Process na Kodi inayoenda Serikalini sio HABA.
 
Kasema viwanda:

1.Juzi Raisi Dr Mama Yetu SSH kafungua assembly plant kubwa ya dump truck mkoa wa pwani yenye uwezo wa kuunganisha maroli hayo kwa dakika 45.

2.Carmatec ipo Arusha inaunganisha na kuunda matrector ya bei nafuu,mradi wa wizara za viwanda na kilimo.

3.Kibaha kuna assembly plant ya matracor makubwa kutoka Ulaya.

4.Yapo makampuni tena ya miaka mingi yanatengeneza semitraler za malori,kampuni zaidi ya tatu.

5.Battery za magari Yuasa Battery.

6.Ongezea.
 
naskia pia tuna viwnada 20 vyanpikipiki 20 vya matrekta 20 vya treni 20 vya meli tuko mbele sana tz
 
Back
Top Bottom