Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13

Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha

View attachment 2995903
Viwanda kama Tesla, BMW, au General Motors, vyenye production plants, gari inasukwa kuanzia mlango, rangi, maroboti yanaweka mirango, engine nk?

Au, alimaanisha assembling plants, au magodown, yakuhifsdhia magari ambsyo l, yanakuja yamekamirika nusu, hapa tunaweka betri nk!

Yaani, mjapan aingize cruza hapa bongo, vipande vipande, ili ije iungiwe hapa? Anapata faida gani? Wao gari z inatengenezwa na robots, tuone hata picha za viwanda vya magari bongo! Au brand gani
 
Mh! tukisema mnasema tunatukana. huyu atakuwa madrasa graduate1 au natukana jamani?
kabla ya kuongea fanya utafiti, elewa muktadha wa kauli husika, sadly unajikuta una akili sana halafu kuna vitu vidogo vidogo kama hivi vya elimu ya sekondari unashindwa kung'amua mwisho wa siku unakuja kuthibitisha the way fanatic christians are very poor in thinking critically.

Tatizo ni kuwa unachuki na wasiokuchukia, watu waliobize kwenye maisha yao we unataka kuanzisha chokochoko za kijinga.

Kwani hakuna kiongozi wa kikristo aliyewahi kuongea kwa malengo ya kisiasa zaidi??? Jibu ni kwamba wapo wengi zaidi kuliko hata viongozi wa waislamulamu kama umesahau kuna mwamba mmoja alishawahi kumuita mkuu kwa nomino Mungu nanukuu maneno yake kwa uchache "Mheshimiwa Mungu" na alikuwa mkristo lakini waislamu hawakureply kwa namna ambayo wengi wenu mna fanya.

Tuombe kwa Mungu amani itawale ila nyi jamaa ni watu mliokosa ustaarabu na mpo nje ya mafundisho ya biblia.

Acheni ujinga
 
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13

Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha...
Kwa hiyo kwa mujibu wa Dr. Kijaji workshop ikiunganisha matrela tayari ni kiwanda cha magari?
 
Safi kabisa,serikali ya ccm ipo kazini
 

Cha Masoud Kipanya kimo? Kiko eneo gani?
 
Hata wale wanaunga bajaji na pikipiki navyo ni viwanda. Waziri kataja vichache tu sababu ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…