Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

Mimi natengeneza body za trailer na mabasi,pia mashine za kilimo kama maize huller,vinu vya kusaga na kukoboa nafaka,pre fab godowns nk, ila sina hakika kama mimi ni kiwanda, nadhani bado nime miss some standard ili niitwe kiwanda, safari hatua,labda kweli tuna viwanda vya magari,sema hatuvioni popote.
 
Sasa kuna shida gani kama mtu ameamua kuwa na mungu wake ambae wewe humwamini? Muache amwabudu mungu wake,na wewe muabudu unaye mwabudu, case closed.
 
Mh! tukisema mnasema tunatukana. huyu atakuwa madrasa graduate1 au natukana jamani?
Ungetoa sababu za kusema hivyo, ingetusaidia na sisi tusiomjuwa. Lakini ulivyo acha hivyo hivyo ilivyokaa, wengi watakuona wewe kuwa na tatizo lileeee.....! La udini. Jambo ambalo si jema hata kidogo kwa nchi yetu.

Labda niulize tu swali, huyo mama ana 'doctorate' ya mambo gani hasa; yaani taaluma yake ni katika mambo gani?
 
Tiorodhesheeni viwanda hivyo kwa majina,na pia kazi zinazofanywa na viwanda hivyo ili tusio na ajira tujue wapi pakuomba ajira katika viwanda hivyo.
Tambua kuwa trailer pia ni gari, viwanda vya kutengeneza Matrailer ndo vipo vingi,mfano super doll,simba trailer n.k,
 
Magari aina gani? Mbona hayaingii sokoni? Au ni haya ya kuchezea watoto??
 
Punguani wa Chadema lazima wabishe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Na wakati wakibosha hawana hata takwimu,ni looser sana nyie watu nimewaona huko Twitter mnatokwa mapovu 😁😁😁😁
 
Hongera umethubutu,kuna watu wanapinga kila kitu bila kujiongeza au kufanya tafiti za msingi.Na sampuli hizo kula kulala akina pangu pakavu tia mchuzi wako wengi magharasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…