Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Hapo anataka kujiwekea mpunga wakeMaswala ya internet, charging na AC ni kuonngeza gharama tuu.
We leta mabasi yanayoweza kumfikisha mtu salama na kwa wakati basi.
Naona wamesema August 2025 zinakuja 99. Sio mbaya kama hatua zimeanza kuchukuliwa.Wazito sana kutoa timeframe
Hapo sawa wapige kazi aiseeNaona wamesema August 2025 zinakuja 99. Sio mbaya kama hatua zimeanza kuchukuliwa.
watakuja kutuambia kuwa hayatemvei kwa kuwa kuna changamoto ya upatikanaji wa gesi.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili.
Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza safari Jumatatu Mei 12,2025 kwa Barabara ya Morocco -Kivukoni na kwa wiki ya kwanza nauli itakuwa bure kw amasharti watumiaji wawe na kadi
Amesema muda mrefu wameelemewa na mabasi chakavu na machache hali iliyosababisha utoaji wa huduma kulegalega,na sasa wameleta basi la kwanza linalotumia gesi lenye uwezo wa kubeba abiria 150.
Basi hilo ni kati ya mabasi 100 yaliyoagizwa kwa kampuni ya mabasi nchini China,na sasa limeletwa kwa ajili ya majaribio kuona kama limekidhi vigezo walivyokubaliana ikiwamo mafundi na madereva kuzoea mfumo wa ufanyakazi wake.
Akizungumza leo Mei 9,2025 na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa basi hilo wakati wa uzinduzi wa basi hilo,Kindamba amesema wamepokea maelekezo ya bosi ya kuleta mabasi ya kisasa na wametekeleza.
"Kiutaratibu ni lazima utengeneze moja au mawili kisha uyaharibu kulingana na jiografia,mana hutengenezwa kwa kadri ya mazingira ya nchi tofauti.Tukishalijaribu hili watu walipande walikosoe,madereva wetu waliendeshe walikosoe.
"Ili mengine 99 yatakapokuja makosa yale yawe yamerekebishwa,hatukutana kutengeneza yote 100 alafu unakuta yanamakosa hasara yake itakuwa kubwa sana,"amesema.
"Huu ni mwanzo tu,tunajua tumepia changamoto nyingi,wananchi wetu wamekata tamaa,wameumia,wameibiwa lakini baada ya dhiki imekuja faraja,Rais Samia Suluhu Hassan amewasikia na ametimiza,"amesema Kandamba.
Amesema litakuwa na internet,kuchaji simu na AC,na kwamba yatakapowasili mengine 99 yatagawanywa kwenye madaraja mbalimbali kwa nauli tofauti ili kujiendesha kibiashara.
Nyumbu mnaumiaaaaa!!!Hizo ndio porojo za mara zote
Maelezo yote hayo ni siasa tu. Mradi mkubwa kama huo unakuwa na plan kabla ya kuanza.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili.
Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza safari Jumatatu Mei 12,2025 kwa Barabara ya Morocco -Kivukoni na kwa wiki ya kwanza nauli itakuwa bure kw amasharti watumiaji wawe na kadi
Amesema muda mrefu wameelemewa na mabasi chakavu na machache hali iliyosababisha utoaji wa huduma kulegalega,na sasa wameleta basi la kwanza linalotumia gesi lenye uwezo wa kubeba abiria 150.
Basi hilo ni kati ya mabasi 100 yaliyoagizwa kwa kampuni ya mabasi nchini China,na sasa limeletwa kwa ajili ya majaribio kuona kama limekidhi vigezo walivyokubaliana ikiwamo mafundi na madereva kuzoea mfumo wa ufanyakazi wake.
Akizungumza leo Mei 9,2025 na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa basi hilo wakati wa uzinduzi wa basi hilo,Kindamba amesema wamepokea maelekezo ya bosi ya kuleta mabasi ya kisasa na wametekeleza.
"Kiutaratibu ni lazima utengeneze moja au mawili kisha uyaharibu kulingana na jiografia,mana hutengenezwa kwa kadri ya mazingira ya nchi tofauti.Tukishalijaribu hili watu walipande walikosoe,madereva wetu waliendeshe walikosoe.
"Ili mengine 99 yatakapokuja makosa yale yawe yamerekebishwa,hatukutana kutengeneza yote 100 alafu unakuta yanamakosa hasara yake itakuwa kubwa sana,"amesema.
"Huu ni mwanzo tu,tunajua tumepia changamoto nyingi,wananchi wetu wamekata tamaa,wameumia,wameibiwa lakini baada ya dhiki imekuja faraja,Rais Samia Suluhu Hassan amewasikia na ametimiza,"amesema Kandamba.
Amesema litakuwa na internet,kuchaji simu na AC,na kwamba yatakapowasili mengine 99 yatagawanywa kwenye madaraja mbalimbali kwa nauli tofauti ili kujiendesha kibiashara.
Jukumu la msingi linamsumbua, hivyo vingine sio issue kabisaMaswala ya internet, charging na AC ni kuonngeza gharama tuu.
We leta mabasi yanayoweza kumfikisha mtu salama na kwa wakati basi.
Limefika moja bdo 99Kwanini 99 na si 100?