Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Mabeberu sisi ndio tunawataka kwa udi na uvumba walete pesa tuokoe uchumi wetu dhaifu uliotengenezwa na ccm kwa miaka 60.Tanzania ni km maji
Kenyatta ajifunze hapa, Mabeberu yanatamani kuja Tanzania halafu wala makande wa garisa na machakozi wanafunga mipaka
Mtawapima kwa vipimo hivihivi vilivyosema kuwa kwale ana Corona?Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.
Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.
Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance
Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk
Source ITV habari za saa
Maendeleo hayana vyama!
Ukipima leo ukawa huna corona ndo kuwa hutapata tena hiyo corona?au watakuwa wakipimwa kila siku?Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.
Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.
Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance
Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk
Source ITV habari za saa
Maendeleo hayana vyama!
Mabeberu sisi ndio tunawataka kwa udi na uvumba walete pesa tuokoe uchumi wetu dhaifu uliotengenezwa na ccm kwa miaka 60.
Miaka 60 huwezi kulipa mishahara kwa pesa za ndani, ajabu.
Hivi huu ulaghai unaongozwa na jiwe unawasaidia nini.Yaaaan jiwe kaharibu nchi na kaharibu mbongo za watu kila mtu amemfanya zombie ndani ya chama na serikali.Ataacha legacy Mbovu sn ya kuaaddicted na sifa za uongoNaibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.
Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.
Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance
Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk
Source ITV habari za saa
Maendeleo hayana vyama!
Pelekeni ndege mkawachukue, unatuambia sisi ili iweje, mbona tunaomba data za maambukizi ili tujue kama tunaweza kuwaruhusu watoto wetu waliopo nje waje likizo mmegoma.Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.
Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.
Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance
Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk
Source ITV habari za saa
Maendeleo hayana vyama!
Number of tourists 2019: Tanzania 1.5m; Kenya 2mTanzania ni km maji
Kenyatta ajifunze hapa, Mabeberu yanatamani kuja Tanzania halafu wala makande wa garisa na machakozi wanafunga mipaka
Mkuu tuliambiwa inaua viroboto wa mbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba wanalalamika kwa Naibu waziriwakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo
Mnaongea nao lugha gani?Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.
Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.
Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance
Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk
Source ITV habari za saa
Maendeleo hayana vyama!
Hapana ni Johnie Walker.Yaani David Beckham ampigie simu Kanyasu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nataka kuja kutalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Teja la watalii. Addiction tabu.Hii serikali mapato ya Utalii yanaichanganya sana.