Waziri Kinyasu: Watalii wanatupigia simu wamechoka kufungiwa ndani huko Ulaya wanataka kuja Tanzania kupumzika

Tanzania ni km maji

Kenyatta ajifunze hapa, Mabeberu yanatamani kuja Tanzania halafu wala makande wa garisa na machakozi wanafunga mipaka
Mabeberu sisi ndio tunawataka kwa udi na uvumba walete pesa tuokoe uchumi wetu dhaifu uliotengenezwa na ccm kwa miaka 60.

Miaka 60 huwezi kulipa mishahara kwa pesa za ndani, ajabu.
 
Leo British Airways imeruka kuwarudisha Waingereza kwao.
Hamna mtu atakaye raia wake wafe, kauli ya BASHITE ya kutaka kufungulia madisco no kauli ya kiuuaji wa kimbari
 
Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.

Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.

Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.

Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance

Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk

Source ITV habari za saa

Maendeleo hayana vyama!
Mtawapima kwa vipimo hivihivi vilivyosema kuwa kwale ana Corona?
 
Ukipima leo ukawa huna corona ndo kuwa hutapata tena hiyo corona?au watakuwa wakipimwa kila siku?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Toka corona ianze miezi minne iliyopita kuna wafanyakazi hawajalipwa?
Mabeberu sisi ndio tunawataka kwa udi na uvumba walete pesa tuokoe uchumi wetu dhaifu uliotengenezwa na ccm kwa miaka 60.

Miaka 60 huwezi kulipa mishahara kwa pesa za ndani, ajabu.
 
Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.

Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.

Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.

Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance

Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk

Source ITV habari za saa

Maendeleo hayana vyama!
Hivi huu ulaghai unaongozwa na jiwe unawasaidia nini.Yaaaan jiwe kaharibu nchi na kaharibu mbongo za watu kila mtu amemfanya zombie ndani ya chama na serikali.Ataacha legacy Mbovu sn ya kuaaddicted na sifa za uongo
 
MKUU VP MBONA MKEMIA MKUU AMESEMA UPULIZIAJI DAWA NI KWA AJILI YA MENDE NA KOROBOTO HI YA KANYAU NI IPI.VP WAGENI HAWATAPIMWA? KM HAWATAPIMWA NINI HATIMA YA WAFANYAKAZI.
 
Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.

Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.

Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.

Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance

Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk

Source ITV habari za saa

Maendeleo hayana vyama!
Pelekeni ndege mkawachukue, unatuambia sisi ili iweje, mbona tunaomba data za maambukizi ili tujue kama tunaweza kuwaruhusu watoto wetu waliopo nje waje likizo mmegoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watalii wakitoka Tanzania wakirudi kwao wajiandae na 14 days isolation na swabs za puani kupimwa corona.
 
Hii serikali mapato ya Utalii yanaichanganya sana.
 
Naibu waziri wa maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.

Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia hilo na kimsingi wameshakubaliana mambo kadhaa.

Mosi watoa Huduma za Utalii watapimwa Corona na kupewa vyeti hii ni kuanzia madereva pale Air port hadi wahudumu wa mahotelini.

Pili idadi ya watalii kwenye gari moja huko mbugani kupunguzwa ili kuzingatia social distance

Magari yote ya Tours kupuliziwa dawa na kuhakikisha muda wote kuna Sanitizer, sabuni na maji
Nk...nk

Source ITV habari za saa

Maendeleo hayana vyama!
Mnaongea nao lugha gani?
 
Back
Top Bottom