Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini Kigali.

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Rwanda, sambamba na kuendeleza diplomasia ya uchumi kwa manufaa ya mataifa yote mawili. Waziri Kombo amemhimiza Balozi Kambanga kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kuitangaza vyema taswira ya Tanzania, pamoja na kuhakikisha kuwa nchi inawakilishwa kwa ufanisi katika nyanja mbalimbali za kimataifa.

Kwa upande wake, Balozi Kambanga amemweleza Waziri Kombo kuhusu historia ya Ubalozi huo, mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa majukumu ya kidiplomasia, pamoja na fursa na changamoto zinazojitokeza katika mazingira ya kazi nchini Rwanda.

Mazungumzo hayo ni sehemu ya shughuli za Waziri Kombo akiwa ziarani nchini Rwanda kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda.
 

Attachments

  • IMG-20250726-WA0208.jpg
    IMG-20250726-WA0208.jpg
    485.7 KB · Views: 43
  • IMG-20250726-WA0209.jpg
    IMG-20250726-WA0209.jpg
    632.6 KB · Views: 38
  • IMG-20250726-WA0207.jpg
    IMG-20250726-WA0207.jpg
    442.6 KB · Views: 36
  • IMG-20250726-WA0200.jpg
    IMG-20250726-WA0200.jpg
    323.8 KB · Views: 44
  • IMG-20250726-WA0201.jpg
    IMG-20250726-WA0201.jpg
    327.1 KB · Views: 47
  • IMG-20250726-WA0204.jpg
    IMG-20250726-WA0204.jpg
    580.4 KB · Views: 47
Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda.

26 July 2025
Kigali, Rwanda

Rwanda and Tanzania Sign Key Cooperation Agreements in Agriculture and Port Services


View: https://m.youtube.com/watch?v=Me0bo2iMaEA

The agreements were signed by Rwanda's Foreign Minister Olivier Nduhungirehe and Tanzanian counterpart Mahmoud Thabit Kombo during the 16th Joint Permanent Commission (JPC) in Kigali.

The ministers underscored the JPC’s role in strengthening bilateral dialogue and trade cooperation, with a planned liaison office in Kigali expected to streamline port services for Rwandan importers and exporters.

Nduhungirehe commended Tanzania’s role in boosting Rwanda’s economy through enhanced operations at the Dar es Salaam port, which handles over 70% of Rwanda’s international trade.

Kombo confirmed that both governments are committed to implementing more ambitious infrastructure projects.

One of the key projects under consideration is the standard gauge railway (SGR), which is expected to link Tanzania and Rwanda.

He mentioned that technical matters such as feasibility and route planning are already being addressed at the ministerial level in Tanzania, to improve the transport of goods between the two nations.

Minister Kombo also hinted that on his way to Kigali aboard RwandaAir he had a serious chat with executives of two Tanzanian firms Azania Group of companies and OilCom Tanzania who have invested heavily in Rwanda.

The Tanzanian minister also praised Rwanda for making Kiswahili one of its four official languages, alongside English, French, and Kinyarwanda.
 
30 Julai 2025

Tanzania bans Foreign traders ​


View: https://m.youtube.com/watch?v=_xhXEFwVD98
Tanzania jobs ban hits Kenyans hard: Should Kenya retaliate?"Tanzanians call us [kenyans] 'kiherehere'. But even in Kenya, we have MSMEs and we don't allow foreigners to come and make jua kali sufurias along Landhies Road. Young people from Rwanda and Burundi are selling us njugu and coffee all over Nairobi." - Ishmael Nyaribo..
 
30 July 2025

Tanzania is Very Hostile to Us

View: https://m.youtube.com/watch?v=2mYbZxyAoJM

Tanzania jobs ban hits Kenyans hard: Should Kenya retaliate? "This ban, though touches on all foreigners, is directed towards Kenyans. Tanzania has been very hostile to us, treating us with disdain. But, we should not retaliate because two wrongs don't make a right. We should not react in such a way that will make Tanzania citizens hate Kenyans." - Senator Joe Nyutu
 
30 Julai 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=aQ4Ie6jUoKA
Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi marufuku dhidi ya shughuli 15 za kibiashara kwa raia wa kigeni. Aina za biashara ambazo kuanzia sasa hazitafanywa tena na raia wa kigeni ni pamoja na huduma za uongozaji watalii, uendeshaji wa mashine za kamari nje ya kasino rasmi, na kumiliki viwanda vidogo miongoni mwa nyengine
 
Back
Top Bottom