Waziri Kombo akutana na Balozi wa China nchini Tanzania

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kupanua ushirikiano wa kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.

Katika mazungumzo hayo, viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano katika biashara, uwekezaji, miundombinu, viwanda na maendeleo ya teknolojia, sambamba na kudumisha urafiki wa kihistoria na ushirikiano wa kimkakati unaozinufaisha Tanzania na China.

Your browser is not able to display this video.
​
 
well done waziri Balozi Kombo,
unafanya kazi nzuri sana Baba πŸ”₯
 

Fa mchezo atakuja kukutana hadi na mabalozi wa sudani kusini chezea pini za "Kamani Wealth"? Chezea Bunge la EU ,Chezea US?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…