Waziri Kombo akutana na Veronica Nduva wa EAC akiwa Equatorial Guinea katika kikao cha 47 cha baraza la mawaziri AU

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Akiiwakilisha Tanzania katika Kikao wa 47 cha Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (AU), jijini Malabo nchini Equatorial Guinea, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva aliyeiwakilisha EAC na vipaumbele vyake katika Kikao hicho na katika Mkutano wa Saba wa Kamati ya Uratibu ya Umoja wa Afrika hapo kesho Julai 13, 2025.

IMG-20250713-WA0005.jpg
IMG-20250713-WA0004.jpg
 
View attachment 3403652View attachment 3403653
zote takataka tupu, nobody is there to serve the people!
 
Back
Top Bottom