Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe
Amemnadi Prof. Janabi ili apigiwe kuraWatuwekee video yenye mazungumzo yao tusikie alichosema waziri
Kwa afya inavyoonesha huyo mtu anayegombea WHO kutoka TZ kama ndio hiyo asahau kupata nafasi hiyo...periodWaziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe
Karibu