Waziri Kombo apokea nakala ya hati za utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa Thailand nchini

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. H.E. Morakot Janemathukorn, Katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaaam tarehe 18 februari 2025.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…