Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Leo siyo mabeberu tena wanaoilazimisha serikali imuachie Lissu?WAZIRI KOMBO ASALIMIANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI MARCO RUBIO UN, NEW YORK
Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na ujumbe wa Marekani, alisimama kumsalimia Mheshimiwa Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Rubio na Waziri Kombo walisalimiana kabla ya kuelekea kwenye maeneo yao ya kuketi, katika tukio lililojiri wakati viongozi na wajumbe kutoka mataifa mbalimbali wakiwasili ukumbini kushiriki Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Salamu hiyo kati viongozi hao imeonekana kuwa ishara ya ukaribu na mahusiano ya kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania yanayojengwa na viongozi katika jukwaa hilo la kimataifa.
📹 - Real America's Voice
so Lobbyist wameshaingina Dolari milioni Ngapi kufanikisha waziri wa liuaji kusalimiana na Rubio?WAZIRI KOMBO ASALIMIANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI MARCO RUBIO UN, NEW YORK
Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na ujumbe wa Marekani, alisimama kumsalimia Mheshimiwa Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Rubio na Waziri Kombo walisalimiana kabla ya kuelekea kwenye maeneo yao ya kuketi, katika tukio lililojiri wakati viongozi na wajumbe kutoka mataifa mbalimbali wakiwasili ukumbini kushiriki Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Salamu hiyo kati viongozi hao imeonekana kuwa ishara ya ukaribu na mahusiano ya kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania yanayojengwa na viongozi katika jukwaa hilo la kimataifa.
📹 - Real America's Voice
Chadema wanasema hiyo ni Al! Ahahahahaha!!WAZIRI KOMBO ASALIMIANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI MARCO RUBIO UN, NEW YORK
Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na ujumbe wa Marekani, alisimama kumsalimia Mheshimiwa Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Rubio na Waziri Kombo walisalimiana kabla ya kuelekea kwenye maeneo yao ya kuketi, katika tukio lililojiri wakati viongozi na wajumbe kutoka mataifa mbalimbali wakiwasili ukumbini kushiriki Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Salamu hiyo kati viongozi hao imeonekana kuwa ishara ya ukaribu na mahusiano ya kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania yanayojengwa na viongozi katika jukwaa hilo la kimataifa.
📹 - Real America's Voice
hua wanabadilika kwa haraka sana baina ya "wadau wa maendeleo" na "mabeberu" , yani waziri fulani anawaita wadau wa maendeleo muda huohuo kuna waziri anawalaani mabeberuLeo siyo mabeberu tena wanaoilazimisha serikali imuachie Lissu?
Leo siyo mabeberu wanao-support ushoga?
Ghafla wamekuwa wazuri kwetu kwa sababu tu ***** Kombo kasalimiana na Rubio?
Uchawa ni kazi inayodhalilisha mno.
Hii nayo ni habari?Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na ujumbe wa Marekani, alisimama kumsalimia Mheshimiwa Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Rubio na Waziri Kombo walisalimiana kabla ya kuelekea kwenye maeneo yao ya kuketi, katika tukio lililojiri wakati viongozi na wajumbe kutoka mataifa mbalimbali wakiwasili ukumbini kushiriki Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Salamu hiyo kati viongozi hao imeonekana kuwa ishara ya ukaribu na mahusiano ya kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania yanayojengwa na viongozi katika jukwaa hilo la kimataifa.
📹 - Real America's Voice
kikawaida kwenye seat za kule TZ, anakaa karibu na kina UK na US kwa kua tunatumia URT(united republic of Tanzania) hiyo wanakua ni majirani wa kawaida tu kama wakiwa hapa east africa na kina M7 na rutoRubio asingeweza kumkaushia baada ya Kombo kumuongelesha.
Watu mnaojidai katika majukwaa ya kisasa kuwa si chochote kwenu, ila wakiwapa tu mkono wa salamu mnakuja kututambia.
Habari za Wazanzibar, Thabit Kombo huyo Yakheee.Hii nayo ni habari?
Na chawa wanapokea chochote kisemwavyo na kukiongezea volume.hua wanabadilika kwa haraka sana baina ya "wadau wa maendeleo" na "mabeberu" , yani waziri fulani anawaita wadau wa maendeleo muda huohuo kuna waziri anawalaani mabeberu