Waziri Kombo asalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio UN, New York

Rubio asingeweza kumkaushia baada ya Kombo kumuongelesha.

Watu mnaojidai katika majukwaa ya kisasa kuwa si chochote kwenu, ila wakiwapa tu mkono wa salamu mnakuja kututambia.

Hiyo yote kuonyesha wanakubalika nje.
 
Pengine kuna upande wa VVIP , VIP na rergular. Sasa wewe utachagua hapo ni upande gani
 
Hapo Rubio hajui hata huyo Mzanzibari ni nani bali husalimia watu wengi bila utambulusho
Msijivike kilemba cha ukoka watu wa Jamhuri ya Unguja na Pemba kwani kwenu ametoka mmoja tuu wa Kimataifa huyu hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1790164282795.jpg
    59.6 KB · Views: 8

Wanaona raha sana wakisalimiana au kushikamna mikono na MABEBERU. Hutasikia anapost akishikana mkono na Waziri wa Rusia au China.
 
Nilichokiona mimi Kimbo ndiye aliyesimama. Rubio aliinua kidogo mkono wake kupungia waliokaa upande wa kulia, Kimbo akaudaka mkono kabla hajarudishwa akaunt’ang’ania na kusimama ili kumkumbatia Marco.
Cha ajabu umetutengenezea taarifa tofauti kabisa.
 
Yaani huyu kombo hata salamu kwake ni habari kubwa, mbona mwenzake hajasimama yeye ss na hug juuu.
 
Ndio achievement ya nchi kimataifa miaka ya mama yao😁😁😁
 
So what?
 
Ni jambo la kawaida sana kwa watu wanao fahamiana na kuheshimiana kama Rubio na Kombo,

cha kushangaza tu ni kwamba kuna watu wana kerwa na urafiki wa karibu miongoni mwa viongozi hao waandamizi katika serikali za Tanzania na Marekani.

well done Rubio and Kombo 🐒
 
Soon watamvunja pia mtujuze sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…