Wangetangaza wangepatikanaMadereva wa Mabus wangefaulu Ukizingatia Bus kama Tahmeed anatumia Scania za kisasa full automatic gear burton tu... Volvo Lorry zile za Bakhera nakumbuka zilikuwa Auto ziendazo DRC

Madereva wanakwenda German, Iceland, Scotland, Canada, France hawafeli but Qatar wamefeli; kuna maswali hayaja jibika
Waziri kaongea ukweli na uhalisia. Suluhisho ni Vyuo kuwekeza kwenye Technolojia ili kuendana na wakati.
GCC Countries kwa dereva yoyote hata wa gari ndogo lazima afanye tena mafunzo na mtihani ili apewe leseni ya nchi hiyo. Inasaidia kumuandaa dereva kuweza kutumia njia na sheria za barabarani, Hivyo umakini unatakiwa wa kuibadili akili kujua kuwa hapa kwetu tunaendesha kutumia upande wa kushoto na wao wanatumia upande wa kulia. Mtihani wao wa Leseni ya Udereva unafanya mara nne. 1. Traffic Sign. 2. Drum Test 3. Slope Test 4. Road Test. Na yote lazima ufaulu. Baadhi ya nchi za GCC wanakupa leseni ya uangalizi ya mwaka mmoja ambayo dereva unatakiwa usifanye makosa barabarani, ukifanya unarudi kusoma tena.
Waziri katupa fundisho kuwa sio madereva tu hata wafanyakazi wengine kabla ya kuingia kwenye soko la ajira basi tujitahidi kujua nchi unayokwenda inahitaji ujuzi na maarifa gani kulingana na Technolojia ya sasa.
113 huko Qatar ziko jumba la makumbusho.Nafanya biashara ya logistics kwahiyo naelewa kuliko madereva wanavyoelewa, hizo 113 tatizo lake kubwa ni kufeli breki
Mstari wangu wa mwisho hapo, "kuna maswali hayajibiki hapa" cause Qatar hawatengenezi magari, huko wanako kwenda ndio wote tuna nunua malori huko then how huko yanako tengenezwa madereva wetu wanafanya vizuri but Qatar wame fail? Huoni bado kama kuna maswali hayajibiki hapo? Is either wana siasa waliingilia mchakato wa kupata madereva kama kawaida yao au lile jambo letuMkuu unaichukuliaje hiyo Qatar?
Una hoja ujibiweMadereva wanakwenda German, Iceland, Scotland, Canada, France hawafeli but Qatar wamefeli; kuna maswali hayaja jibika
Uko sahihi kabisa.Waliopelekwa sio madereva sahihiMstari wangu wa mwisho hapo, "kuna maswali hayajibiki hapa" cause Qatar hawatengenezi magari, huko wanako kwenda ndio wote tuna nunua malori huko then how huko yanako tengenezwa madereva wetu wanafanya vizuri but Qatar wame fail? Huoni bado kama kuna maswali hayajibiki hapo? Is either wana siasa waliingilia mchakato wa kupata madereva kama kawaida yao au lile jambo letu
Ingekuwa kipindi cha magu hao madereva wangefikia lock up na waziri kutumbuliwa sema tu ni kwamba kama unataka kufeli kwenye mipango yako mshirikishe mzanzibariView attachment 3332337
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam.
Video: Wapo Media
==================================
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI DAR, AELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA MAMBO YA NJE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na Wahariri wa vyombo vya Habari na kuelezea mwelekeo mpya wa Sera ya Mambo ya Nje Toleo la Mwaka 2024, ambayo ni muendelezo wa sera ya mwaka 2001 na kuongeza kuwa maboresho hayo, yamelenga kuiwezesha Tanzania kukabiliana na changamoto za wakati uliopo na wakati ujao katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam, Balozi Kombo ameeleza kuwa maboresho hayo yamelenga kulinda maslahi ya taifa kwa msingi wa uhuru, haki za binadamu, demokrasia, ujirani mwema, na diplomasia ya uchumi na kuongeza kuwa maboresho hayo yamejikita kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa, kushirikisha diaspora, kukuza matumizi ya lugha ya Kiswahili kama bidhaa ya taifa, kuingiza masuala ya mazingira, jinsia, vijana, na uchumi wa buluu.
Amebainisha kuwa mafanikio ya utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ambayo aliyataja kuwa ni pamoja na kuimarika kwa ujirani mwema na ushirikiano wa kimataifa na kuongeza kuwa kulikuwepo na changamoto kama uhalifu wa mipakani, ukosefu wa mwongozo kwa diaspora, na kutotumika vya kutosha kwa Kiswahili.
Amesema Sera ya Mambo ya Nje toleo la mwaka 2024 itazinduliwa rasmi tarehe 19 Mei 2025 na utekelezaji wake unahusisha wadau mbalimbali, ukiwemo mkakati mahsusi wa kushirikisha Watanzania waishio nje, kukuza utalii, kuongeza masoko ya bidhaa, na kuimarisha ushawishi wa Tanzania kimataifa.
Amesema utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 imeleta manufaa kwa nchi na kutaja manufaa hayo kuwa ni Pamoja na kuimarika kwa ujirani mwema, kuimarika kwa ushirikiano wa kikanda na kimataifa, kushika nafasi za uongozi katika taasisi za kimataifa, na Tanzania kuwa mwenyeji wa taasisi za kikanda na kimataifa.
Amesema maboresho hayo yamelenga kuongeza uzingatiaji wa mila na Katiba, kuweka mfumo wa uratibu wa mikataba, kushirikisha diaspora wa Tanzania, kutumia Kiswahili kama bidhaa, na kuingiza masuala ya uchumi wa buluu, mazingira, jinsia na vijana.
Twafungua nchi atiHabari za muda huu.
Habari za chini ya carpet ni kwamba wale madereva walioshindwa majaribio ya kuendesha magari ya kisasa asilimia kubwa walikuwa Wazanzibari.
Ngongo kwasasa Doha.
Sasa wewe unafikiri dereva akitoka NACHINGWEA na hawai kuja DSM,,unavikiri anaweza kuensha hapa mjini?View attachment 3332337
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam.
Video: Wapo Media
==================================
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI DAR, AELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA MAMBO YA NJE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na Wahariri wa vyombo vya Habari na kuelezea mwelekeo mpya wa Sera ya Mambo ya Nje Toleo la Mwaka 2024, ambayo ni muendelezo wa sera ya mwaka 2001 na kuongeza kuwa maboresho hayo, yamelenga kuiwezesha Tanzania kukabiliana na changamoto za wakati uliopo na wakati ujao katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam, Balozi Kombo ameeleza kuwa maboresho hayo yamelenga kulinda maslahi ya taifa kwa msingi wa uhuru, haki za binadamu, demokrasia, ujirani mwema, na diplomasia ya uchumi na kuongeza kuwa maboresho hayo yamejikita kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa, kushirikisha diaspora, kukuza matumizi ya lugha ya Kiswahili kama bidhaa ya taifa, kuingiza masuala ya mazingira, jinsia, vijana, na uchumi wa buluu.
Amebainisha kuwa mafanikio ya utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ambayo aliyataja kuwa ni pamoja na kuimarika kwa ujirani mwema na ushirikiano wa kimataifa na kuongeza kuwa kulikuwepo na changamoto kama uhalifu wa mipakani, ukosefu wa mwongozo kwa diaspora, na kutotumika vya kutosha kwa Kiswahili.
Amesema Sera ya Mambo ya Nje toleo la mwaka 2024 itazinduliwa rasmi tarehe 19 Mei 2025 na utekelezaji wake unahusisha wadau mbalimbali, ukiwemo mkakati mahsusi wa kushirikisha Watanzania waishio nje, kukuza utalii, kuongeza masoko ya bidhaa, na kuimarisha ushawishi wa Tanzania kimataifa.
Amesema utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 imeleta manufaa kwa nchi na kutaja manufaa hayo kuwa ni Pamoja na kuimarika kwa ujirani mwema, kuimarika kwa ushirikiano wa kikanda na kimataifa, kushika nafasi za uongozi katika taasisi za kimataifa, na Tanzania kuwa mwenyeji wa taasisi za kikanda na kimataifa.
Amesema maboresho hayo yamelenga kuongeza uzingatiaji wa mila na Katiba, kuweka mfumo wa uratibu wa mikataba, kushirikisha diaspora wa Tanzania, kutumia Kiswahili kama bidhaa, na kuingiza masuala ya uchumi wa buluu, mazingira, jinsia na vijana.
View attachment 3332367
Mitala za kufundishia hazina weledi, Zina uchawa wa CCMJapo limekaa kiubinafsi tukujuwa walipelekwaje ila ni aibu kwenu.
Hivi leo vyuo vikubwa vinaweza kufundisha what is Bunsen burner Wakati kuna majiko ya gesi ya kupikia.
Sijaleta mada ya bunsen burner ila nimetoa maana kuwa bado vyuo kama NIT vipo kwenye zama mawe kutokukubari kuna mabadiliko ya dunia.