Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

Acha ujinga wewe ,unaweza kutumia wametumia majaribuo gani ? Gari walizotumia ni zipi? Wenzenu hata Sheria za barabarani ni tofauti na huku.
 
Acha ujinga wewe ,unaweza kutumia wametumia majaribuo gani ? Gari walizotumia ni zipi? Wenzenu hata Sheria za barabarani ni tofauti na huku.
Umejibu nini ? We si ndio wale mafundi wanaogopa gari za Nissani
 
Tatizo lipo katika kukurupuka! Na vijana wengi hampo serious, unamwita kuja kwa interview anauliza mnapatikana wapi!

Kuhusu hao madereva, ilitakiwa kabla ya wao kwenda waambiwe ni magari yapi wataendesha na wapate orientation hapa nchini. Ni kosa kulaumu NIT badala ya kuilaumu wizara ambayo ni waratibu.
 
Sasa hivi kuhuisha leseni za magari makubwa lazima uwe na cheti kutoka NIT. Wengine hawana au wana vyeti lakini hawakwenda mafunzo. Vinapopelekwa kwa ukaguzi vinakataliwa. Hapo pesa ndiyo inafanya kazi.
 
Hakuna gari anatengeneza baba yako ,acha kuleta ujuaji ..Mtumwa wewe!
Mtumwa alafu hakuna gari inatengenezwa na baba yako ina maana hata unacho jibu kuwa wewe ni nyani
 
Back
Top Bottom